President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,024
- 93,385
Ninatumia Azam TV Sports nalipa Tsh 25,000 per month. Vipi huko kenya kuna HD channels?Nunune ticket uende ushangilie Taifa Stars. Ni aibu sana kukosa 50 bob ya ticket.
Ninatumia Azam TV Sports nalipa Tsh 25,000 per month. Vipi huko kenya kuna HD channels?Nunune ticket uende ushangilie Taifa Stars. Ni aibu sana kukosa 50 bob ya ticket.
Hakuna pahala katukanwa tumemjibu kiupendo kabisa.Chunga sana usimiminiwe matusi na wenzako
Tuletee ya 2025 tuone mabadiliko yaliyofanyika
Tuonyeshe ya mkoa wa MaraTanzania tulifanya hivi kila mkoa since 1977
Unataka uoneshwe wapi?FRom 2022 to 2025 is only 3 yrs. Ebu tuonyeshe kama there is anything imechange in those your slums.
Tanzania tupo na mikoa zaidi ya 30 halmashauri almost 200. Nikianza kukuwekea hapa tutakesha. Tofauti na Nairobi county ngani yenye Stadium?Tuonyeshe ya mkoa wa Mara
Unataka changes za wapi?Tuletee ya 2025 tuone mabadiliko yaliyofanyika
Karume Stadium upo hapo MaraTuonyeshe ya mkoa wa Mara
Upper middle income tunaingia very soon.Lamu Port will be the biggest port in Africa once all the 32 Berths are complete
Ripoti ni ya 2013 and still mentions 70% of your population living in slums, just as 2022
Karume Stadium Musoma Mara, ikirekebishwa kidogo tu; inafanana na KasaraniRipoti ni ya 2013 and still mentions 70% of your population living in slums, just as 2022
Huko hata wameongeza slums, by now nikama wanachezea 80%FRom 2022 to 2025 is only 3 yrs. Ebu tuonyeshe kama there is anything imechange in those your slums.
You mean this cattle dip ama kuna nyingine?Karume Stadium upo hapo Mara
Haya sasa tuendelee na vitu vya maana. Maana ubishani wenu wakenya ni minor issuesHuko hata wameongeza slums, by now nikama wanachezea 80%
Sasa ulichoandika na ulichoquote ziko na uhusiano gani? Confused elementHuko hata wameongeza slums, by now nikama wanachezea 80%
Hiyo picha ya 2002. Marekebisho kidogo tu inafanana na Kasarani. Tofauti ya kasarani na huu uwanja ni paa la uwanja pekee. Ukiondoa hilo paa vinafananaYou mean this cattle dip ama kuna nyingine?View attachment 3435754
Sawa bongolala, nimekubaliana na yote uliyosema. Sasa tuoneshe Karume stadium ya 2025 tuoneHiyo picha ya 2002. Marekebisho kidogo tu inafanana na Kasarani. Tofauti ya kasarani na huu uwanja ni paa la uwanja pekee. Ukiondoa hilo paa vinafanana
This time atucheki na kimaThe Tanzania Mercantile Exchange (TMX) is the first commodity exchange market in Tanzania
Hapa unaweza kununua mazao ya kilimo popote ulipo duniani. Wakenya wanaandamana tu.
Hii ndio inaitwa real digitization. Wakenya wanakodoa macho tu. Hakuna kununua mazao mashambani TZ.