Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

70% of Tanzanians live in slums according to World Bank.
Screenshot_20250808-120145.png
 
Watu huwa hawajipembui kabisa.
Eti criteria ya kupima umaskini ni mtu kuishi chini ya dola moja.
Mara sijui kutokumiliki kitu fulani.
Hao wanaotajwa kuwa masikini unakuta wana ng'ombe na mbuzi uwanja mzima. Huyo utamuita masikini?
Si ameshindwa tu kuibadilisha asset yake kuwa fedha?
Je akiibadili asset yake ya mifugo kuwa pesa unampata!?
Pia jamaa kashindwa hata kutuatilia mgawanyo wa utajiri hapa Tanzania.
Sekta za kiserikali zote tumeshikilia wenyewe, sekta za uvunaji pesa kupitia natural resources mathalan madini tumeshikilia wenyewe kwa kiasi kikubwa,kilimo, ufugaji n.k n.k.
Shida yetu kubwa ni COPY and PASTE na takwimu uchwara.

Ndio maana unakuta mtu yuko Ulaya, anaishi nyumba ya kupanga, anaendesha gari la mkopo (credit card), anakula GMOs lakini anahisi ana mafanikio.

===

Wakati huo huo, huyu ankaa kwake, halipi kodi ya nyumba, anakula organic food na mifugo kama ng'ombe, mbuzi, kuku.

Unasema mtunanaishi chini ya Dola moja. Hiyo dola moja haiwezi kununua hata kilo.moja ya mchele anaokula huyu mtu.

KUna Black americsn mmoja, alikuja TZ anasema huwa akija ndio anakula kilo nzima ya Bamia, kwasababu akiwa US hawezi kumudu gharama.

20250808_115835.jpg
 
Lamu Port will be the biggest port in Africa once all the 32 Berths are complete
Saa hii huwrzi ona hawa wachawi wakiongelea Lamu Port vibaya juu wanajua it's currently better than all their ports combined.
 
Back
Top Bottom