Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kisumu

1754564714274.jpeg

1754564751068.jpeg
 
So hzo picha ndio umeona kila kituπŸ˜‚ yani tazama hata umbali wa hzo picha na ile ya nairobi picha haijapigwa mbalia na kila kitu kina fit kwenye one pic
Niambie kilichobaki ndani ya hii picha. I can see kijiko ya nyama, Upanga, cbd and Kariakoo.

moizhusein_1642362358564836.jpg


And stop looking for excuses. This picture below is taken from South C na Westlands inaonekana. Do you know how far South C is from Westlands?


Gte8xtlXQAAqY8A.jpg


Uko hapa kututajia ukubwa wa Dar ambayo zaidi ya nusu ni uswazi na mashamba ya mihogo?
 
Kariakoo iko wapi mbugila tope wewe!?
Hapo Kuna Kijitonyama, Victoria na Makumbusho.
Aya tuoneshe Kariakoo iko wapi hapo!?
TPA inaonekana vizuri sana kwenye ile picha. Sisi sote tunajua Kariakoo na TPA ni pua na mdomo
Dofoto_20250807_144952420.jpg
 
Back
Top Bottom