Zilete hapa hizo slums zitaje.70% of Tanzanians live in slums.
Mie naanza na Kenya Mukuru kwa Reuben.
Zilete hapa hizo slums zitaje.70% of Tanzanians live in slums.
Uliza World Bank.Zilete hapa hizo slums zitaje.
Mie naanza na Kenya Mukuru kwa Reuben.
Niambie TV gani una own. Size ipi nicheke kidogoUliza World Bank.
Hizo criteria zenyewe zinazotumika kupima indication of poverty ni fictious.kwenye hao 28 million extreme poor ni 100% black people na hakuna muhindi, mwarabu au hata chotara tu hata mmoja, it tells a lot about us as people, afrikan people, dunia nzima foreign looking minority ndiyo huwa masikini na majority humiliki nchi, ila tanzagiza tumekuwa brain washed ukiongelea unfair accumulation of wealth kwa wachache wahindi na waarabu wanakuita "mbaguzi" na kwa tanzagiza kuitwa mbaguzi ni big deal, the system imekuwa designed hivyo ...
Shida ya watu kufikiria huwa jambo gumu. Sasa Msukuma yuko busy na mifugo kama Masai, au Kilimo.Hizo criteria zenyewe zinazotumika kupima indication of poverty ni fictious.
Hata wanauchumi wakubwa wamelizungumzia sana.
Pia Tanzania utajiri umekuwa distributed kulingana na sector labda kama hujalifuatilia hilo.
Hao unaowaita waarabu na wahindi wameshikilia sana sekta ya biashara na viwanda.
Ila ukienda sekta za madini,mifugo,kilimo n.k ni zimeshikiliwa na waTZ wenyewe.
Hizo criteria za kupima poverty indications sijawahi kuziamini na sintowahi kuziamini.
Maana hazina umadhubuti.
World bank hakuna pahala walitaja slums hata moja toka Tanzania.Uliza World Bank.
70% of Tanzanians live in slums according to World Bank.World bank hakuna pahala walitaja slums hata moja toka Tanzania.
Ila naweza kukuletea majina ya slums kutoka world bank ndani ya Kenya.
Watu huwa hawajipembui kabisa.Shida ya watu kufikiria huwa jambo gumu. Sasa Msukuma yuko busy na mifugo kama Masai, au Kilimo.
Unataka utajiri wake uhesabiwe kama Mhindi mwenye duka??
Na hawa Wahindi wana favor tangu ukoloni walikuwa middle class, sema kwetu hapa tuliwadhibiti kidogo.
Walikuwa na viwanda kabla ya ukoloni.
Lete hizo slums hapa!70% of Tanzanians live in slums according to World Bank.
Kwikwikwikwi Teargass from The Republic of Talkovia aka Mouthnation Republic you always put rubbish in your mouth, that why you normally talk shits70% of Tanzanians live in slums according to World Bank.
70% of Tanzanians live in slums according to World Bank.
Shida yetu kubwa ni COPY and PASTE na takwimu uchwara.Watu huwa hawajipembui kabisa.
Eti criteria ya kupima umaskini ni mtu kuishi chini ya dola moja.
Mara sijui kutokumiliki kitu fulani.
Hao wanaotajwa kuwa masikini unakuta wana ng'ombe na mbuzi uwanja mzima. Huyo utamuita masikini?
Si ameshindwa tu kuibadilisha asset yake kuwa fedha?
Je akiibadili asset yake ya mifugo kuwa pesa unampata!?
Pia jamaa kashindwa hata kutuatilia mgawanyo wa utajiri hapa Tanzania.
Sekta za kiserikali zote tumeshikilia wenyewe, sekta za uvunaji pesa kupitia natural resources mathalan madini tumeshikilia wenyewe kwa kiasi kikubwa,kilimo, ufugaji n.k n.k.
Dar yote ni slum.Lete hizo slums hapa!
Mkaza fuvuDar yote ni slum.
Asante kwa blog. According to World Bank 70% of Tanzanians live slums😂😂😂