Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

ni aibu kwa nchi kama yenu isiokua na maendeleo nje ya nairobi

tena ni aibu kubwa sana na haiwezekani vile vile labda nikupe elimu nenda kasome vigezo vya kuhost usifkiri ni kama kule githeri fala wewe 😂😂😂😂

hii yenyewe Afcon tumepewa kwa mbinde na masharti mengi sana
Nchi imekosa maendeleo nje ya Nairobi na Mombasa Kila siku inakuchanganya akili hadi unaiita Dhaka!
 
Kama Talanta inakarabia kuisha in one year tunaweza jenga zingine. Nyinyi mambwa mtatuletea aibu with your empty stadiums, we should host alone, ikiwa mbaya sana wapatie Rwanda hio nafasi yenu.
Yani for the three hosting nations ni Tanzania pekee ndio kila game Stadiums are empty. Hata waganda wamewashinda😂😂😂.

Makwapa

1754510067678.jpeg


Kasarani

1754588225694.jpeg
 
Back
Top Bottom