Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ohhhh sijui tukona BRT, tukona stadiums, tukona fans, we will host the best tournament. 🤣 🤣 🤣 Kwa ground mambo ni different, hawana hata 50 bob ya kuwatch games. Huko bongoslum hata travelling fans hawako.
Mimi ningekuwa rais wao ningewatoa na viboko kwa hizo bases zao za umbea waende wawatch ball nchi isapate aibu wanapatwa nazo saa hii🤣🤣😂😂🤣.

Yani mwanaume baadala aende wawatch ball hao wanaongelea harusi za wanamuziki😂😂
 
Ile game ya vilaza jana mashabiki walifika hata elfu kumi kweli?
Hawa hata wakipelekwa Dandora Stadium hawawezi jaza😂😂😂😂

1754510067678.jpeg
 
Mimi ningekuwa rais wao ningewatoa na viboko kwa hizo bases zao za umbea waende wawatch ball nchi isapate aibu wanapatwa nazo saa hii🤣🤣😂😂🤣.

Yani mwanaume baadala aende wawatch ball hao wanaongelea harusi za wanamuziki😂😂
🤣 🤣 🤣 Bongolala especially wa Dar is a slum hawawezi saidika, wanakuanga hivyo. Hata heri wa Arusha.
 
Let me give you the benefit of doubt but looking at this picture, you want to tell me that from where this picture was taken (the distance), Kariakoo, which is only 2.5 kilometers (after taking a million corners to make it seem far away)from TPA is not visible at all when TPA is clearly visible? Wacha kutuona wajinga
View attachment 3435319
We fala wacha ubishani wa kijinga.
Kariakoo haipo hapo.
Kariakoo ipo kulia zaidi kwenye jengo la TPA.
Na hakuna barabara ya Moja kwa Moja kutoka TPA kwenda Kariakoo.
Wakenya ni wabishi wa kisenge!!
Dooh!
 
Tumeishi kuwaambia hapa hawatakangi kuskia. Bongolala wanajua tu Simba na Yanga.
Kenya sports zote hujaa. Rugby, Rally, Athletics, Football, Basketball. Hata high school games hua zinajaa.


View: https://x.com/PolycarpMDM/status/1953501807411372168

Leo hii kelele wamekuwa wakitupigia humu kitaisha. Walidhani hii competition itatuvua nguo alafu wao ndio wanavuliwa. I'm sure AFCON mambo yatakuwa hivo hivo. 🤣 🤣
 
Watu hawahudhurii mechi za stars kwakua timu za taifa hazifanyi vyema na makocha ni wabovu. But with all that, tunashinda mechi kwajili ya ubora waligi yetu.

Hili swala la usafiri ni ujinga kuongelea. Huwezi fananissha maroli ya mizigo na usafiri Dar.
Hata games za visiting teams bado viwanja ziko empty kwanza sana. Mukubali tu hosting imewashinda. The stadiums are always empty, day in day out.
 
Back
Top Bottom