Wamejificha😎
Bahati yao ingawa wameshaporomoka kwenye kundi lao.Wakenya wamepewa penati
Umaskini umewafanya msijaze Stadium. CAF will never repeat the mistake they did again.
Apa leo kuna kitombo live 👇👇🤣🤣🤣🤣Big mouths wanaendelea na kazi yao?
Mouth is big, actions zero
Ushindi wa Tanzania unawafanya wacheze kwa presha. 😂😂😂Ila hawa Kunyan hawajui mpira nguvu nyingi Akili 0
Yapo Nyumban dk 21 yanapoteza Muda 😂😂Wakenya wamepigwa red tayari KWikwikwikwikwi
Ndiyo mara yao ya kwanza na hawatoboi leo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Naambiwa Hapa Kunyan hawajawahi kufuzu michuano hii
Wanacheza kwa Mgongo wa Muandaaji
Hawa jamaa Wanajua ni RiadhaApa leo kuna kitombo live 👇👇🤣🤣🤣🤣View attachment 3435194
Hata siku ile yn walikuwa wanajikaza kweli kweli, mpira wenyewe kama wanacheza kwa magongo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Ushindi wa Tanzania unawafanya wacheze kwa presha. 😂😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hawa jamaa Wanajua ni Riadha
Yanakimbia kimbia tu
Yes hawajawahi, CHAN 2020 tuliwafunga na kuwaondoa kwenye kinyanganyiro cha kufuzu. 😂😂😂Naambiwa Hapa Kunyan hawajawahi kufuzu michuano hii
Wanacheza kwa Mgongo wa Muandaaji