Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

WB Wako sahihi, mbona liko wazi sana, ufukara wao haufichiki 😆, wageni wanafika wanaona maisha ilivyo na walivyo wenyewe wanasema Tanzania is backwards 30 years in comparison to Kenya.., 🤣🤣🤣🤣
Be honest who is 30years backwards

Kenya

View: https://vm.tiktok.com/ZMSoSXfhj/ This post is shared via TikTok Lite. Download TikTok Lite to enjoy more posts: https://www.tiktok.com/tiktoklite

Tanzania

View: https://vm.tiktok.com/ZMSoSCEdp/ This post is shared via TikTok Lite. Download TikTok Lite to enjoy more posts: https://www.tiktok.com/tiktoklite
 
Match gani kubwa mshaihost mushinda CHAN? The tournament in bigger than CHAN in Africa is AFCON na bado hamjawaihost AFCON. So Mr Chokoraa ebu tuwaambie ni nini mlihost?
We maku tushahost final ccfl mara 2,kujaa kwenu uwanjani ni ushamba tu wa uwanja uliokarabatiwa kijua kali,TZ tulifanyaga hivyo miaka 15 iliyopita,kama nyie watu wa mpira muulizeni musonye chokoraa mwenzenu huko kwenye slums 110,why miaka yote cecafa cup zinafanyika TZ,mkapa ishaanda match kubwa zaidi 100,na CAF hawajawahi kutupiga faini,nyie na congo tena chan vurugu zake sasa,washamba nyinyi
 
May be an image of street, twilight and skyscraper
May be an image of road, skyscraper, twilight and street

May be an image of skyscraper and twilight
Road marking huwa hamzingatii kabisa, yn kama haina umuhimu kwenu.
 
Be honest who is 30years backwards

Kenya

View: https://vm.tiktok.com/ZMSoSXfhj/ This post is shared via TikTok Lite. Download TikTok Lite to enjoy more posts: https://www.tiktok.com/tiktoklite

Tanzania

View: https://vm.tiktok.com/ZMSoSCEdp/ This post is shared via TikTok Lite. Download TikTok Lite to enjoy more posts: https://www.tiktok.com/tiktoklite

Maku safari hii hawajajipa umuhimu kama walivyojidanganya zile golden dragon waliziasembly wao,ukiwauliza kiwanda cha kuasembly golden dragon huko ukundustan kimeanza lini,wanabaki kujipiga midole 😂
 
Wewe huoni after ile law yao in Kenya, only the CS involved addressed it and the rest was on social media while in Uganda, they even rioted and harassed some Tanzanians doing business their but in the minds of Bongolalas, ni Wakenya pekee wameumia.😂😂😂
Do you hear yourself?

Whole country media, government, citizens crying over vibarua week straight. Yaani hata ziara ya Museveni ilipotea.

Acha usenge. Na bado mnalia
 
Ivi hao jamaa hawaoni the more wanafungua midomo ndio wanajiaibisha, yaani mtu anajipiga domo eti walijaza uwanja, while watu wamenunuliwa tiketi na Ruto, wamevamia uwanja, wamevunja mageti kuingia bure, still kiwanja empty.

You wonder dah
 
unajua shida ya wakenya wao wanataka kushindana na tanzania kwenye kila jambo, wakiona tanzania inafanya vzr wao wanataka waoneshe wamefanya zaidi wakat wana tumia tax payers money ovyo kujionesha wako juu kumbe makalio yanatoa harufu 😂😂😂😂

yani sifa kwa mkenya ni kama jasho na kwapa, mkenya ndio binaadam pekee yuko tayar kufa njaa huku akijisifu
 
Nimetoka na kitu kumbe King Long ndie Baba wa Xiamen Golden Dragon na Higer Buses.

Nilijua ni tofauti maana niliyaona King Long buses.

Wachina wanajua kutujulia imagine kuna mtu yupo Happy Nations (Higer Buses) wanaletea unazi kwa Ally's Star (Golden Dragon) huku wakimchamba RATCO na CIVITO (Kinglong)

Huku Mchina anawachora 😂
Ndio walivyo na Wa Howo na Shacman, wote Boss mmoja , wote Weichai Engine😎😂
 
We maku tushahost final ccfl mara 2,kujaa kwenu uwanjani ni ushamba tu wa uwanja uliokarabatiwa kijua kali,TZ tulifanyaga hivyo miaka 15 iliyopita,kama nyie watu wa mpira muulizeni musonye chokoraa mwenzenu huko kwenye slums 110,why miaka yote cecafa cup zinafanyika TZ,mkapa ishaanda match kubwa zaidi 100,na CAF hawajawahi kutupiga faini,nyie na congo tena chan vurugu zake sasa,washamba nyinyi
Hamkuhost final ccfl, a Tanzanian team was playing in the final and since it's a two legged match, one leg had to be in Tanzania.

Cecafa cup is like a Primary School tournament and no one takes it seriously.

Mtapigwa aje fine yet you don't go to stadium to watch matches?

Najua elimu yenu ni ndogo lakini wacha kujiaibisha mbele ya umma😂😂
 
Back
Top Bottom