Why don't you deport them?Bro, you literally spend a whole parliament session whining about Kenya when Jaguar mentioned that East African hawkers in Gikomba should go back...............and that was not even a law, it was an individual's opinion. Sasa ingekuwa sheria je? Who do you think you're fooling? People are really stupid on this thread.๐๐
View: https://youtu.be/nOReJcML3uQ
narudi tena maneno yangu kwenye maneno 100 ya mkenya chukua moja na ukitoka hapo usigeuke nyuma, na ukifika nyumbani hakikisha usilale mpaka na hilo moja pia ulitafakari kwa kina๐๐๐๐Hawa wakisema We are Rich, Unaona hata aibu kusema Chochote, Ila wale wakundustan wanasema we are Rich na Audacity yote kumbe wananuka tope kila eneo. Hata eneo alipo anaposema we are Rich linamkataaa๐
Kama existing ports lacks proper infrastructure hizo mpya ndio zitakua nazo?๐คฃ๐คฃkwani kwenye initial post yangu nilisema nini? I quote " we are building ports" sasa wewe unataka kuona nini zaidi ya construction progress?
Unaumia ukiwa wapi bwana govi.,?Kama existing ports lacks proper infrastructure hizo mpya ndio zitakua nazo?๐คฃ๐คฃ
Nyinyi hamjui na hampendi ball pia. Ni midomo na kelele Tu.Mkunya unaungumzia mpira infront of Tanzanian.? ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
With no cranes, hio ni kiwanja tu. ๐คฃ๐คฃThis is an inland port for logistic purposes integrated with industrial park. It was set up to decongest Dar port and reduce vehicular traffic and time delays in Dar roads.
Nairobi has more marked to roads than Dar is a slum. Dar is a slum hata street parking ni shida and you want to lecture us about marked roads.Road marking huwa hamzingatii kabisa, yn kama haina umuhimu kwenu.
Ask Ichoboy mbona magorofa ya posta yanaonekana kutoka Upanga the same way he asks about Nairobi