Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wakundustan wakitoka kupost ghorofa 1 la mzungu, wanahamia kwenye Talanta ya mchina baada ya hapo ni meters 5 za pavements za kasongo ila projects za maana kama hizi hawana


View: https://x.com/PerseusMining/status/1952884236823765434?t=bPbM9obVstBaIoTMjOj4lA&s=19

Ahsante Kaka.
Hii nimepata idea ukizingatia kuna sheria ya Local Content muda wa kwenda kupiga pesa.

Anyway ifike muda hizi taasisi za kifedha ziwezeshe watu kuwekeza maeneo ya kimkakati asee.

Sasa tuseme unapesa, huwezi wekeza pote, tukisema uende kununua msalato kiwanja, kuna Inner Ring road, government city, kuna Kwala drypot, kuna SGR vituo vya moro, kuna SGR Dodoma, damn yaani pesa zinaisha na bado kuna maeneo yanataka uwekezaji.

Mfano huko Uranium new mine, bado hiyo nyanzaga. Dah!

Nchi hii sehemu za kuwekeza ni Nyingi, ifike muda TIC wasifocus na wageni sana waambie na locals.

Mtu hana taarifa hadi usikie madalali wa viwanja na hao madalali huna uhakika kama ni kweli viwanja vina hati. Wizara ingekua inaverify speed ingeongezeka hata huenda miji ingepanuka zaidi
 
Zitaje, huwezi, lakini sisi tunakupa live. Dar is a Slum. Confirmed
View attachment 3434553
downloadfile-51.jpg

Confirmed ya nyoko,mwehu ww
 
WB Wako sahihi, mbona liko wazi sana, ufukara wao haufichiki 😆, wageni wanafika wanaona maisha ilivyo na walivyo wenyewe wanasema Tanzania is backwards 30 years in comparison to Kenya.., 🤣🤣🤣🤣
Be honest who is 30years backwards

Kenya

View: https://vm.tiktok.com/ZMSoSXfhj/ This post is shared via TikTok Lite. Download TikTok Lite to enjoy more posts: https://www.tiktok.com/tiktoklite


Tanzania


View: https://vm.tiktok.com/ZMSoSCEdp/ This post is shared via TikTok Lite. Download TikTok Lite to enjoy more posts: https://www.tiktok.com/tiktoklite
 
Match gani kubwa mshaihost mushinda CHAN? The tournament in bigger than CHAN in Africa is AFCON na bado hamjawaihost AFCON. So Mr Chokoraa ebu tuwaambie ni nini mlihost?
We maku tushahost final ccfl mara 2,kujaa kwenu uwanjani ni ushamba tu wa uwanja uliokarabatiwa kijua kali,TZ tulifanyaga hivyo miaka 15 iliyopita,kama nyie watu wa mpira muulizeni musonye chokoraa mwenzenu huko kwenye slums 110,why miaka yote cecafa cup zinafanyika TZ,mkapa ishaanda match kubwa zaidi 100,na CAF hawajawahi kutupiga faini,nyie na congo tena chan vurugu zake sasa,washamba nyinyi
 
Be honest who is 30years backwards

Kenya

View: https://vm.tiktok.com/ZMSoSXfhj/ This post is shared via TikTok Lite. Download TikTok Lite to enjoy more posts: https://www.tiktok.com/tiktoklite


Tanzania


View: https://vm.tiktok.com/ZMSoSCEdp/ This post is shared via TikTok Lite. Download TikTok Lite to enjoy more posts: https://www.tiktok.com/tiktoklite

Maku safari hii hawajajipa umuhimu kama walivyojidanganya zile golden dragon waliziasembly wao,ukiwauliza kiwanda cha kuasembly golden dragon huko ukundustan kimeanza lini,wanabaki kujipiga midole 😂
 
Back
Top Bottom