Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Munaletea Jumuiya aibu with your empty stadium. Yani bila Simba na Yanga hakuna cha maana huko bongoslum.
The highest revenue collection on Kenyan football ni 7.3mil almost tsh 148mil Tena mechi kubwa baina ya gor mahia versus afc leopards , hiyo ikicheza simba na yanga ni mara tatu yake akicheza Azam na singida labda kidogo ndo atalingana na hii yenu🤣🤣🤣🤣
 
The highest revenue collection on Kenyan football ni 7.3mil almost tsh 148mil Tena mechi kubwa baina ya gor mahia versus afc leopards , hiyo ikicheza simba na yanga ni mara tatu yake akicheza Azam na singida labda kidogo ndo atalingana na hii yenu🤣🤣🤣🤣
Why is Aman stadium empty? Hamna hamsini ya kuwatch game?
 
Matatu has become a tourist attraction.

1000038753.jpg
 
Ukitaka uone utofauti wa Kenya na Tanzania nenda YouTube halafu search "Slums in Tanzania" halafu ukishamaliza search "slums in Kenya" ujionee mwenyewe 😂😂😂😂

Hapo ndio utaelewa kwa nini tunasema Kenya ni masikini kuliko Tz despite having high fake GDP
Google earth ni tosha., youtube is cherry picked and edited., inaonyesha a skewed view, biase ya camera man, angles giving deceptive perception, ila google earth inaanika kote, kulia kushoto, kaskazini kusini.., ndio maana wageni watakuambia Tanzania bado iko nyuma sana licha ya wao kuiona Kibera, bado wanaiona Tanzania on average ikiwa below.., uswazi ndio ukubwa wa Dar..,
Hakimu wa kweli ni wageni wasio wakenya ama wa Tanzania.., kando na Google Earth satellite images
 
You don't have disposable income. Ndio Kwa maana munakosa shillingi hamsini ya kwatch games live.
But we are the leading country in gate revenue collection in the whole of east africa. Kenyan highest gate fee haijawahi fikia hata nusu ya third march iliyowahi ingiza mapato tanzania
 
View attachment 3432329
Imagine dar ndio ingekua inasoma namna hii,nyau wa kibera wangekua wanamwaga povu la hatari humu,jamaa elimu yao iko low sana thus y uelewa wao uwa unapandikizwa na wazungu au wanasiasa wao,watakachoambiwa na wanasiasa au wazungu lazima wakibebe
Ndio ujue mtanzania ni kilaza.., ingia google earth utazame
Ruai (Ruai!!! kama ni slum, basi Tanzania yote ni slum)..,
Uthiru
Riruta
Kawangware
Githurai..,
Tazama kwa urefu na upana wa kila eneo, ujionee.., hatufanani
kisha screenshot tuone kama utaona Ukibera pale.., hakuna uswazi iko level ya hizi sehemu kiukweli.., mko hovyo, poor dirt slums are segmented sehemu, ndio maana Ruto anaziondoa kirahisi.., pale Dar pengine mjenge jiji lingine., uswazi unazidi kutapakaa,kwa vile jiji ya kutafuta hela ni moja Tanzania., sasa mafukara wote kutoka vijijini wanakimbilia Dar kutafuta wakikosa utawapata Mombasa, Nairobi, Nakuru., hadi Migori, na wasio fanikiwa wanaishia kukuwa omba omba
 
Back
Top Bottom