President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 31,767
- 89,792
Yani bado leo kulikua na a motorsport event. 🙌
View: https://x.com/KevMbugz/status/1952011588162195474
Hiyo siyo Subaru Kwikwikwikwi, Hujui hata magari
Yani bado leo kulikua na a motorsport event. 🙌
View: https://x.com/KevMbugz/status/1952011588162195474
Naona kipchirchir Teargass kimyaa kama kamwagiwa maji ya barafu ha ha ha😎
Nchi imeoza ileWamewatisha kuwapiga kumbe 😠😠😠ðŸ˜
Hao nyang’au wameshatokomea kusikojulikana🤣Teargass nairobae furaha yenu imezimika kama mshumaa. Kenya imekaa top dakika 86 tu.
View attachment 3430180
Ntakuambia wanatafuta empty seats Kasarani kwa torch🤣🤣😂.The stadium is empty and other jaba stories. 🤣 🤣 🤣 Enyewe official opening ilikua leo.
![]()
Hili kundi tunazifunga timu zoteTeargass nairobae furaha yenu imezimika kama mshumaa. Kenya imekaa top dakika 86 tu.
View attachment 3430180
Mhhh ila Madagascar mhhhHili kundi tunazifunga timu zote
Lakini zipo au sio?😂Ntakuambia wanatafuta empty seats Kasarani kwa torch🤣🤣😂.
Haina shida we tamba tu, uwanja ni wako.2nd game for kenya is already sold out by now, this was yesterdayView attachment 3429267
kama wanataka kuijua tanzania wamsikilize huyu mkenya mwenzao😂😂
View: https://youtu.be/OCSBSzxYpdE?si=63UwykV0cadZ7NLw
Kwa mpira wa leo niliouona, wengine tutawagonga hata 10.Hili kundi tunazifunga timu zote
Wafanya biashara wenyewe wa viatu na nguo wanakuja kustock kariakoo kwakua kwenda China ni gharama na hapo Tanzania ni cheap.Hii kitu ni ya moto moto sana. East, Central and South Africa inahamia hapa. Kimya kimya hatupigi kelele. Tutakuja kuwatisha tu mwaka mmoja tutaweka Budget yetu $100B ndio watakapochanganyikiwa
Hasta hatuna issue hapo. Nyie mkitaka shida kombe. Sisi ni kuwatch ball kusell nchi na kuwa entertained.Teargass nairobae furaha yenu imezimika kama mshumaa. Kenya imekaa top dakika 86 tu.
View attachment 3430180