President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,010
- 93,371
If they can’t make it in a stadium right in the middle of the city ( Uswaziland), how are they gonna make it in Arusha ( Afcon) which is in the middle of Serengeti ..🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kwani fans have been banned au ni poverty. 🤣 🤣 🤣
Mbna serikali yenu haikuwalipia mfiche hizi aibuHakuna asiyejua wakenya wamelipiwa kiingilio na Ruto. Hivi kwanini 80% ya wakenya ni jobless?
Hebu tueleze kwanini Kenya kila mwaka ni hunger?If they can’t make it in a stadium right in the middle of the city ( Uswaziland), how are they gonna make it in Arusha ( Afcon) which is in the middle of Serengeti ..🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Piga ua, umesema that stadium in the middle of a kichaka is inaccessible. 🤣 🤣 🤣If they can’t make it in a stadium right in the middle of the city ( Uswaziland), how are they gonna make it in Arusha ( Afcon) which is in the middle of Serengeti ..🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Ni umaskini. Gate fee ya 50 bob imewashinda kulipa🤣🤣😂Yaani hivi Watanzania ni masking au shida ni ni!?
Alafu utaskia wakipanua midomo hapa ati wanapenda football.Bongolala hujua tu Yanga na Simba. 🤣 🤣 🤣 Huko hakunanga proper football fans.
Kenya imekaa top kwenye group 86 minutes 🤣 🤣 🤣 🤣Alafu utaskia wakipanua midomo hapa ati wanapenda football.
Northern Pastoralists wa Kenya. They might be poor on paper but more wealthier than you can imagine with their cattle value. One of those guys can sell 10 cows and have more money than your average rich Bongolala. Unafikiri hizo guns wameokota kwa dustbin?…They might dress traditionally but got better weaponry than your Police . Now let’s compare the equivalent ya your traditional tribal people. Unataka nipost wale hawajui hata soda ni nini ..😁😁Watu hawana hata nguo ya ndani wanawaita watanzania maskini Kwikwikwikwikwi Tabia za marofa zipo hivyo
View attachment 3430076
Umejitahidi sana kuongeza Contrast lakini wapi. 45K mmeshindwa kijaza na Ruto kawalipia wote.The stadium is empty and other jaba stories. 🤣 🤣 🤣 Enyewe official opening ilikua leo.
![]()
Asante kwa kukubali kuwa hao ni makapuku. Haya tueleze sasa Ndani ya Nairobi unapata hii. Huu ni umasikini kiwango gani?Northern Pastoralists wa Kenya. They might be poor on paper but more wealthier than you can imagine with their cattle value. One of those guys can sell 10 cows and have more money than your average rich Bongolala. Unafikiri hizo guns wameokota kwa dustbin?…They might dress traditionally but got better weaponry than your Police . Now let’s compare the equivalent ya your traditional tribal people. Unataka nipost wale hawajui hata soda ni nini ..😁😁
Hii jana watu wakiimba Wimbo wa Taifa la Tanzania kwa upendo na unyenyekevu.
View: https://www.tiktok.com/@fobyofficial/video/7534258969913707832?is_from_webapp=1&sender_device=pc&web_id=7490481124943988279