Washafungwa tayari hao Congo.Hawa wacongo nao wanakosa magoli ya wazi kabisa wasenge hawa.
Wamezingua.
Washafungwa tayari hao Congo.Hawa wacongo nao wanakosa magoli ya wazi kabisa wasenge hawa.
Hiyo hainihusu. Mimi nimesema N-card ni brand name. Kama unabisha prove me wrong.Umesoma maelezo kuhusu N card imeanzishwa kwa dhumuni gani?
Yanarudi kaka.Washafungwa tayari hao Congo.
Wamezingua.
Sio Congo hawa.Hao Congo mkikutana nao wanawalima.
Mzee wa kukaza fuvuHao Congo mkikutana nao wanawalima.
Umesoma maelezo?Hiyo hainihusu. Mimi nimesema N-card ni brand name. Kama unabisha prove me wrong.
Kwikwikwikwikwi. Kundudweller banahHiyo hainihusu. Mimi nimesema N-card ni brand name. Kama unabisha prove me wrong.
I've been to both stadiums recently. I can tell you the quality of the pitch is the same.Leo tuangalia ili tunataka tuone jinsi pitch zenu Zina low quality ,
Ni goli Moja tu wamefungwa.Yanarudi kaka.
Pitch low quality aisee Kuna maeneo Kuna vipara nyasi hazijaota vizuri tunaona hapa.I've been to both stadiums recently. I can tell you the quality of the pitch is the same.
🚮🚮🚮Umesoma maelezo?
Unasemaje haikuhusu ilhali Kuna maelezo?
Hata hapo kwenu yapo. Speaking as someone who's been to that pitch.Pitch low quality aisee Kuna maeneo Kuna vipara nyasi hazijaota vizuri tunaona hapa.
Hapa uhalisia tunauona , pitch nyasi zinachomoka mtu akipiga shoot .I've been to both stadiums recently. I can tell you the quality of the pitch is the same.
Kombe hili tunachukua. Morocco tunawamudu. Tumecheza nao sana.Hao congo wabovu
Hamwezi kubali Harambee Stars wako juu? 😂😂😂Hao congo wabovu
Nimeona tope jeusi pia. 😂😂😂Hapa uhalisia tunauona , pitch nyasi zinachomoka mtu akipiga shoot .
Leta ya dar ambayo nyasi zilikuwa zinachomoka🤣🤣🤣🤣.
Yaaan hii pitch yenu hata Ile ya karatu ni bora
Congo na Senegal nani mtabe Mr. Vlogger.Hao Congo mkikutana nao wanawalima.
Hakuna sehemu kwenye pitch kuko kipara pale uwanja wa Mkapa usitudanganye.Hata hapo kwenu yapo. Speaking as someone who's been to that pitch.