Traveller D
JF-Expert Member
- Jul 11, 2025
- 1,721
- 4,601
Arusha city
Unawashwa na kenya na mko na team yenu? Ndo maana tunasema mko obsessed na kenyaTatizo hapo kwenye win sasa ndio shida
Aliona picha imechomeka sana akaona a-rebrand. 🤣 🤣Yes. One and only Baboonman. Jamaa thought changing IDs itamsaidia.
Kwahiyo umekasirika?Unawashwa na kenya na mko na team yenu? Ndo maana tunasema mko obsessed na kenya
Na akapunguza midomo pia🤣🤣🤣😂.Aliona picha imechomeka sana akaona a-rebrand. 🤣 🤣
Wale waliofunika Running tracks jifunzeni sasa toka Tanzania. Hutakiwi kufunika unatakiwa kuboresha
Leo ntakua hapo.. 🔥🔥🔥Wale waliofunika Running tracks jifunzeni sasa toka Tanzania. Hutakiwi kufunika unatakiwa kuboresha
View attachment 3428326
View attachment 3428328
View attachment 3428329
Leta hizo projects sio maneno tupuI can bring you 100 housing projects outside Nairobi. Nyinyi zenu mnatafuta Tu kwa torch.
Hivi wewe nyang’au mbona una wivu sana?😂I can bring you 100 housing projects outside Nairobi. Nyinyi zenu mnatafuta Tu kwa torch.
Aende wapi, kila siku hiyo Kisirani oops sorry, Kasarani wanaiona kwenye TV na social media ila hata kukanyaga hajawahi 😂😂😂Let’s link up. View attachment 3428421Cc Teargass. Vipi huko ushawahi kukaanyaga hapo kasarani walau for free entrance.? Asking for a friend…
Umepata ATM card Juzi sasa unataka kuringia kila mtu? NairobiWalker bado unashuku Kama huyu ni our darling baboon? Jamaa Anaturingia ATM Card😂😂Let’s link up. View attachment 3428421Cc Teargass. Vipi huko ushawahi kukaanyaga hapo kasarani walau for free entrance.? Asking for a friend…
Hiyo ni N-card inayotumika kulipia usafiri eidha wa kivuko ama mwendokasi.Umepata ATM card Juzi sasa unataka kuringia kila mtu? NairobiWalker bado unashuku Kama huyu ni our darling baboon? Jamaa Anaturingia ATM Card😂😂
I can show you over 20 such projects even bigger just in my hometown of Nanyuki… relax kilaza ..😁😁Leta hizo projects sio maneno tupu
Atajua wapi kama hiyo ni N-card. 🤣🤣🤣 hajawahi Ona popote kitu ka hiyo in his entire life.Hiyo ni N-card inayotumika kulipia usafiri eidha wa kivuko ama mwendokasi.
Sio ATM card hiyo.