Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Karibu mcopy mpaka jina. Let's check in 5 years which is doing better. TRM in Roysambu, which is a semi-proper mall, or that glorified marikiti with 2000 tiny shops.

I've seen top floor shops struggle in better locations, without 1900 other competitors. So I'll be curious about this one in a few years.

trm.JPG
 
Hii nyumba ina choo ndani? 🤣 🤣
Danganya wenye hawajawai fika Bongo. Nyumba mpya za tofali hapo bongo vyoo viko nje alafu utuambia nyumba ya tope ina choo ndani?🤣 🤣
View attachment 3427321
Kheri hiyo Ina choo nje.
Je Kibera mna vyoo hata vya nje?
Kibera si mnakunya kwenye mifuko?
Achana na kibera nilileta video humu wakenya wanaishi katikatika ya penyo za daraja na wanajisaidia humo humo.
Kenya mna umasikini wa kuogopesha sana.
Imagine mtu analala katikati ya penyo za daraja doooh!
 
Mark my words that Stadium will be torn down in a few years. Then you will see posts on Twitter from Kenyans about how much they wasted renovating it and it was all corruption, blah blah, blah... LOL!

Instead of building 2 30k\40K stadiums in Mombasa and Kisumu and a serious renovation of Kasarani they decided to take a different path.
We are building stadiums all over kenya I don't know what you're on about
 
Show me a Tanzanian fabricator who has made a bus like this. Muache uongo saa zingine.

516789607_764487889266728_2319339466490557916_n.jpg
Yaani you just make some ugly thing from a truck chassis, unafunga some old engine 340hp with high milage 3m km and put a man logo kwa mbele Kisha unaita man. Wakunya mna tabu sana, no wonder wonder the whole country is crying over Tanzania Jobs
 
It's baffling how Kenyan's allow such criminal behavior to occur against their children without raising any alarm. In the animal kingdom, all mammals instinctively protect their young, keeping strangers at a distance to ensure their safety. This is one of those things you rightly should take it the street..
cc NairobiWalker Teargass mwaiofhawaii BlietzKrieg@mwathadan
Hao kwa mzungu hawana neno, ndio mabwana zao.

Tuje tena na kila mkenya anatakiwa kupimwa mpakani full body.

Mara Mapunye, mara Jiggers, mara Mpox now mavaccine.

Wazee wa Lockdown ya Mchana
 
Meaning we have more talent than you.
Mambo mengine kubali yaishe, wachezaji wa kikenya kwa ss England yao kwenye football ni Tz mana kuna pesa ya kutosha, na ligi ina mvuto. Ni kama unavyoona wachezaji wote duniani ndoto yao ni kucheza ulaya, wachezaji wenu wanaona ni heri waje bongo wacheze timu ndogo ndogo kuliko kubaki Kenya kuchezea Gor Mahia, juzi tu hapa mchezaji wenu kipenzi wa timu ya taifa kakimbia kambi baada ya kusikia anatakiwa na Simba, na hajarudi mpk kesho. Kwenye football kwa level zote kuanzia club level mpk national team hakuna mjadala.
 
Halafu timu zenyewe sasa Dodoma city
 
Karibu mcopy mpaka jina. Let's check in 5 years which is doing better. TRM in Roysambu, which is a semi-proper mall, or that glorified marikiti with 2000 tiny shops.

I've seen top floor shops struggle in better locations, without 1900 other competitors. So I'll be curious about this one in a few years.

View attachment 3427422
Wewe ni comedian:.?
 
Back
Top Bottom