Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Yani hizo billion 38 Tzsh ni sawa na bilioni 1.9 Ksh,yani mkataba wa miaka 10 wa pesa za kudhamini ligi nzima ya Kenya ni pesa ndogo kuliko mkataba wa Simba na Jayrutty wa miaka mitano.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Lamamayeee.
 
Halafu wakina engineer Hersi walitaka kumfanyia figisu Karia! Watu wacheze mpira waache fitna!
Wallace naye ana makosa yake sio figisu.
Ajirekebishe laa sivyo asiendelee na uongozi.
Haiwezekani marefa wakilalamika kutokulipwa posho zao tena mwaka mzima indeed!
 
Ungekuwa na akili ungejua clubs do sign higher sponsorship deals than leagues. Lakini ng'ombe ni ng'ombe tu.
Ingekua hivyo Azam asingesaini sponsorship ya ligi ya Tanzania kwa $ 100 millions for ten years.
Yani $ 10 milllions for a single year.
Sawa na 11 billions Ksh for ten years na 1 billion ksh per single year.
Ndio mnasema mna ligi nyie!?
 
Yani hizo billion 38 Tzsh ni sawa na bilioni 1.9 Ksh,yani mkataba wa miaka 10 wa pesa za kudhamini ligi nzima ya Kenya ni pesa ndogo kuliko mkataba wa Simba na Jayrutty wa miaka mitano.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Lamamayeee.
Weka maneno vizuri ni mdogo kuliko mkataba wa kit supplier wa Simba. Hapo hatujagusia Mdhamini mkuu Betway and others such as Azam TV rights and NBC premier league etc.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…