Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Teargass alias Teargass amepewa sifa zisizo zake Mtu anayepoteza muda ku-argue naye namhurumia! Na nina uhakika amebewa ban kuliko mimi naweza kusema hata mara 10 zaidi! Hauwezi ukamuweka Moderation risk high halafu mimi Very High! Hizi analytics ziko biased! Hilo nakataa!
I use facts in my arguments, you don't. So just sit down, relax and ask for the massage from your grand daughters.
In your old age you still argue like a class 1 kid.
 

Hoja yetu Iko hapa hii ni Kenya? Acha kukimbia
chrome_screenshot_Jul 29, 2025 1_07_02 PM GMT+03_00.png

Kabla ya kupost picha uwe unaikagua kwanza, uliulizwa source ya picha ukakimbia
 
Hoja yetu Iko hapa hii ni Kenya? Acha kukimbia View attachment 3423152
Kabla ya kupost picha uwe unaikagua kwanza, uliulizwa source ya picha ukakimbia
Niwapi nilisema hio specific simulator ni ya Kenya? Idiot I said hamna flight simulator na shida iko wapi nikitumia any picture of a simulator to emphasize my point. Simulator yenu iko wapi? Ukinionyesha nafunga hii account.
 
Muwe mnaweka picha halisi za Kenya badala ya kuokotezaView attachment 3423131

Halafu linganisha na hii ya Tanzania View attachment 3423135
View attachment 3423135
Ndio maana ukimwambia alete evidence anaanza kurukaruka kama maharage jikoni na kutoa kauli chafu.
 
Sasa ulishindwa nini kuweka hapo mwanzo mpaka ukimbilie bullying tactics. Isitoshe hiyo simulator ni ya Dash 8 Q400
Ju uliskia KQ wakona simulator moja, wacha kujiabisha. Bongoslum hamna hata moja, munategemea za Kenya.
 
Back
Top Bottom