Huwa na shangaa baadhi yetu hapa kufumbia macho uonevu huu wa wazi, na wengine hata kuutetea? Yaani wanafungia makanisa, hata waumini wakienda kwingine wanawafata, huo sasa ni ushetani.Watu wamechoka na serikali onevu East africa integration haitowezekana kama serikali yetu ikiendelea na huu uonevu
Propaganda zako jiwekee, KQ has been donating aircrafts and aircrafts parts to education instituitions. Wewe unaweza peana mali sio yako? Air Tangagiza imewai peana hata mgrudumu?View attachment 3422408View attachment 3422408
Mkanunue hata hii basi moja tu iwe yenu badala ya kuwa wapangangji
Wa
Tsavo Aircraft Financing LLCCitibank NA, JPMorgan Chase, AfreximBankTo finance 6x B787‑8, 1x B777‑300ER & spare engineHeld by financiers via trustee
Kaka, uliona sawa katiba ya nchi kukanyagwa kwa mgombea wa CCM kutangazwa kabla ya bunge kuvunjwa?Nani kaonewa? Yule kijana wa NALA na baba huyu aliyeingizwa chaka naving'amuzi vyake? Sasa hivi ana hasita GoT. Hakuna aliyeshindana na Serikali akashinda.
Hivi wewe unajuwa maana ya intrisic value? Google that first and re read what I said about hangars. Your business model is not realistic, you can't make any profit with those numbers (3 out of 35).So siku hizi airline business ni kuziweka kwenye hanger? How do you guage the success of an airline hapo Bongolala?
Any business is measured on profitability, sio mambo za kijinga kama sijui hanger.
Ni ibara ipi inayosema vyama vya siasa vitangaze wagombea wao baada ya bunge kuvunjwa?Kaka, uliona sawa katiba ya nchi kukanyagwa kwa mgombea wa CCM kutanganzwa kabla ya bunge kuvunjwa?
Brother makanisa mangapi yamefungiwa? Lililofungiwa ni moja tu. Tanzania kuna zaidi ya makanisa 1,000,000.Huwa na shangaa baadhi yetu hapa kufumbia macho uonevu huu wa wazi, na wengine hata kuutetea? Yaani wanafungia makanisa, hata waumini wakienda kwingine wanawafata, huo sasa ni ushetani.
Bro, we acha tuu?Na tusiwe tunalipa hata ushuru wa maegesho zikiwa Dom hapo ila wao itembee au isitembee lazima wawalipe Citibank hela ya mkodisho
Has your airline ever made any profit since inception?Hivi wewe unajuwa maana ya intrisic value? Google that first and re read what I said about hangars. Your business model is not realistic, you can't make any profit with those numbers (3 out of 35).
You can be upset with me if you like, but we can store our planes in the hangars, and the documents will indicate they are owned by Tanzanian govenment. Can you do the same?
We can still cash in on our 'dead airline'. It's like finding a hidden treasure in the attic! Can you do the same?Has your airline ever made any profit since inception?
Ok, let’s talk about figures cause it seems you so much into it.
Passengers
KQ -6M
ATCL -800k
Cargo
KQ -78K tonnes
ATCL - 25 tonnnes.
How will storing planes in hanger improve those statistics in favor of your dead airline?
Kwani Gwajima anakanisa moja? Na Kama alikosea si ashtakiwe kwa mujibu wa sheria, hao waumini wake wamekosea nini, kuzuiwa kuabudu?Brother makanisa mangapi yamefungiwa? Lililofungiwa ni moja tu. Tanzania kuna zaidi ya makanisa 1,000,000.
Ibara ya 41 (1) inaongelea kuhusu bunge kuvunjwa kabla ya majina kuwasilishwa, sasa jina moja lilishatajwa ili baadae lije kupelekwa kwenye tume ya uchaguzi.Ni ibara ipi inayosema vyama vya siasa vitangaze wagombea wao baada ya bunge kuvunjwa?
Makubaliano yepi wakati hakukuwa na mchakato au kinyanga'nyiro cha kumtafuta mgombea? Kikwete aliposema tumekubaliana, alikubaliana na nani wakati kibajaji alihoji?Huyo amepitishwa na CCM siyo INEC.
Tofautisha makubaliano ndani ya chama na Utaratibu wa ki nchi.
Mimi sijaona tatizo hapo.
Right off plane sio Ukunduni mnahitaji antidumping laws! Mangu High school inahitaji fligjht simulators n real aircrafts!Propaganda zako jiwekee, KQ has been donating aircrafts and aircrafts parts to education instituitions. Wewe unaweza peana mali sio yako? Air Tangagiza imewai peana hata mgrudumu?
Uganda Wanachimba mafutaNilikua sifahamu mie kwa mawazo yangu nilidhani EACOP ni kwaajili ya kusafirisha mafuta yakishakuwa imported bandari ya Dar badala ya kutumia magari.
Even after cashing in you will still go at a loss cause you bought second hand planes. Combine that with the tear and wear and you are done.We can still cash in on our 'dead airline'. It's like finding a hidden treasure in the attic! Can you do the same?
Iko bandari kavu Isaka ni karibu zaidi na Eastern DRC, Rwanda, Burundi na UgandaHapa bila kuhamishia kwala na Dodoma hali itakuwa mbaya sana kwa miezi ijayo.
Bandari kavu zilipendeza ziende Dodoma (icds) maana pale kuna ringroad ambayo imekwisha kamilika . Hapa mjini wangeachiwa malori ya mafuta tu.
Acha ujinga wewe. Dar Port is right at the City Centre hiyo ndio shida. Ni kama uweke mombasa port hapo Nairobi Haile Selassie Avenue halafu ziingie lorry 1000 za transit na zaidi ya 1000 for town trip shughuli yake itakuwaje hapo?Our major ports in Nairobi and Mombasa have special access roads for trucks to prevent traffic disruptions. Sisi sio bongolala kama nyinyi.