Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kuna budget na mapato.

Ingawa Kenya wanajua kukusanya Pesa. Kenya kodi, tozo za Halmashauri hawacheki na mtu, watu wanapigika.

Hata ukiangalia makusanyo yao ni makubwa, ila wanasiasa wanakula 90% ya hizo pesa zote
Mishahara yao ni trillion 2 za Tanzania kwa mwezi wakati Tanzania mishahara kwa mwezi ni billion 700 Kwahiyo Tanzania tukikusanya trillion 3 kwa mwezi wao trillion 4, kwenye development expenditures tumewapita
 
Mapato yao yote yanishia kwenye MISHAHARA na kulipa MADENI.

Hawawezi hata kujenga uwanja wa mpira kwa mapato ya kodi.
 
Mapato yao yote yanishia kwenye MISHAHARA na kulipa MADENI.

Hawawezi hata kujenga uwanja wa mpira kwa mapato ya kodi.
Imagine wametudouble idadi ya civil servants na huwa wanasema wapo kidogo lakini performance ni zero vikodi wanavyovipata wanavigawana umaskini
Screenshot_20250726-095524.jpg
Screenshot_20250726-095456.jpg
 
Kasarani is better than Makwapa and that's why ilichaguliwa kupost Finals. As long as your Stadium will not host Stadium finals usiniongeleshe.
uhehehehe kumbe munaumia sana😂😂
sisi ndio mabingwa wa opening ceremony na tanzania ina chezesha viwanja viwili CHAN nyinyi kimoja tu

kwetu ni znz and mkapa
 
Back
Top Bottom