Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,879
- 103,740
Kisirani sasa apart from the roof nini mlibadilisha?
Kisirani sasa apart from the roof nini mlibadilisha?
Mmekuwa overcharged with SERVICES mpaka MMESHAZOEA.Yani a whole government inapeana capitation ya Ksh 500 bob per year, no wonder wengi ni primary school droputs. 🤣 🤣 🤣
View attachment 3419020
Ni kweli kaka. Tuache wivu, tupige kazi. ASANTEwakati mwingine tuache wivu hizi biashara ziko registered Brela including owners! Haya maneno ya sijui hiki kile hayajengi!
Tuoneshe Stadium yoyote yenye LED Perimeter Advertising Boards hapo kenyaKasarani is better than Makwapa and that's why ilichaguliwa kupost Finals. As long as your Stadium will not host Stadium finals usiniongeleshe.
Makusanyo ya halmashauri zao yako chini sana , hayaendani na uhalisiaKuna budget na mapato.
Ingawa Kenya wanajua kukusanya Pesa. Kenya kodi, tozo za Halmashauri hawacheki na mtu, watu wanapigika.
Hata ukiangalia makusanyo yao ni makubwa, ila wanasiasa wanakula 90% ya hizo pesa zote
Hapo ilikuwa baada ya miezi 12 ndo walifanikiwa kufikisha 1.3mil ila Tanzania ndani miezi 9 mpaka kufikia machi tulikuwa na 2+mil 🤣🤣🤣🤣Hii income ya passengers service Kenya ni kituko . Tz we are far ahead 🤣🤣🤣
![]()
SGR Passenger Train Madaraka Express Nets Sh1 Billion in 12 Months
Standard Gauge Railway (SGR) passenger train, Madaraka Express, which was launched by President Kenyatta in June last year has earned the government Sh1 billion in revenue in a span of one year. Speaking on Wednesday, Kenya Railways Managing Director Atanas Maina said the passenger train has...mwakilishi.com
We have witnessed how your members of parliament speak in parliament, and it clearly reflects to the poor quality of education you have in bongoslum.Mmekuwa overcharged with SERVICES mpaka MMESHAZOEA.
Mkiona watu wanapata huduma kwa cheap mnaona kama haifai.
Very dumb creatures.
Murang'a county produces more Avocados than any other country in Africa.Kenya about to be the 5th largest producer and exporter of avocados in the world. As usual putting Africa on the world map. Na tumetulia tu kimya kimya ..😜
View attachment 3418971
Mtanzania smart yoyote ni smarter than any kunyan, wherever they live in this world. You can’t challenge our smart people.We have witnessed how your members of parliament speak, and it clearly reflects to the poor quality of education you have in bongoslum.
Nope you are not.Mtanzania smart yoyote ni smarter than any kunyan, wherever they live in this world. You can’t challenge our smart people.
Members of parliament is a democratic position.We have witnessed how your members of parliament speak in parliament, and it clearly reflects to the poor quality of education you have in bongoslum.
I repeat, you are not.Hakuna mkunya wa kumzidi mtanzania smart budaa, kivyovyote vile. Kunzia Hicho kiingereza mnachojipiganacho kifua hadi upande wowote ule wa maisha. Uongozi, technology, biashara and everything.
Again, you are not.Unaleta empty talks ila mimi nikianza kufumua utakimbia. Hakuna mkenya wa kumzidi mtanzania budaa chill. Kivyovyote vile.
Kwamba hizo vitu anavyo post ndo vinaonesha kuwa smart au ana maana gani! 😂😂😂Unaleta empty talks ila mimi nikianza kufumua utakimbia. Hakuna mkenya wa kumzidi mtanzania budaa chill. Kivyovyote vile.