Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 15,300
- 33,626
Serikali aishindwi kupunguza matumizi ya V8 na safari za watumishi wa nje ya nchi,ili ijenge interchange jangwani,design ya daraja kama lile huwezi kulikuta kwenye nchi za wenzetu dunia hii ya leo lipo sehemu kama ile,madaraja yale yapo nje ya mji huko,aipendezi city center ukatengeneza daraja kama la mto wamiGood idea but that would need alot of Cash investement ambazo inawezekana hakuna kwa sasa.
Una propose road kutoka selender kupita btwn river msimbazi via Jangwani to kigogo this project ita cost around 1bil usd
Na kuna priorities nying bado mfano Mwanza To CBD needs 2x2 road
Arusha to KIA needs 2x2 road
Chalinze Dar needs 3x3 road
Bado kuna roads mfano Chunya to Itigi needs Tarmac