Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kasarani Stadium.

1000028293.jpg
 
Daraja la Jangwani Mpaka tunakamilisha wanatuangalia tu. Ndio tumeanza hivyo

View attachment 3418623

View attachment 3418624

View attachment 3418625
Design ya hili daraja imekaa kishamba,kwa ukuaji wa jiji la dar baada ya miaka kadhaa litakua uchafu tu,then vizazi vyetu vijavyo vitalivunja na kujenga na yanayoendana kwa wakati huo,kuna shida gani hapo wakijenga interchange ya kutokea salender bridge,kinondoni na kigogo,interchange ingepunguza foleni kawawa road na morogoro road,engineers wetu sometimes wana ujima flan
 
Good idea but that would need alot of Cash investement ambazo inawezekana hakuna kwa sasa.
Una propose road kutoka selender kupita btwn river msimbazi via Jangwani to kigogo this project ita cost around 1bil usd

Na kuna priorities nying bado mfano Mwanza To CBD needs 2x2 road

Arusha to KIA needs 2x2 road

Chalinze Dar needs 3x3 road

Bado kuna roads mfano Chunya to Itigi needs Tarmac
 
View: https://youtu.be/ewpdSjUTSO8?si=2djQks_17gpbGnhr
Ukiangalia hii video nakuhakikishia kamwe hutainua mkono wako kutype anytjing concern stadiums. Video ya moto tu haina hata masaa 24 🔥, binafsi nimekuwa suprised na Benjamin Mkapa Stadium.Viva Tanzania, ni kuwakalisha tu hawa manyang’au muda wote 😄

There is nothing special hapa. Ukiweka Kasarani na Makwapa in one sentence I assure you nobody will pick Makwapa over Kasarani.
 
Good idea but that would need alot of Cash investement ambazo inawezekana hakuna kwa sasa.
Una propose road kutoka selender kupita btwn river msimbazi via Jangwani to kigogo this project ita cost around 1bil usd

Na kuna priorities nying bado mfano Mwanza To CBD needs 2x2 road

Arusha to KIA needs 2x2 road

Chalinze Dar needs 3x3 road

Bado kuna roads mfano Chunya to Itigi needs Tarmac
Serikali aishindwi kupunguza matumizi ya V8 na safari za watumishi wa nje ya nchi,ili ijenge interchange jangwani,design ya daraja kama lile huwezi kulikuta kwenye nchi za wenzetu dunia hii ya leo lipo sehemu kama ile,madaraja yale yapo nje ya mji huko,aipendezi city center ukatengeneza daraja kama la mto wami
 
Design ya hili daraja imekaa kishamba,kwa ukuaji wa jiji la dar baada ya miaka kadhaa litakua uchafu tu,then vizazi vyetu vijavyo vitalivunja na kujenga na yanayoendana kwa wakati huo,kuna shida gani hapo wakijenga interchange ya kutokea salender bridge,kinondoni na kigogo,interchange ingepunguza foleni kawawa road na morogoro road,engineers wetu sometimes wana ujima flan
Hivi hakuna render ya hii project, maana tunaona picha tu
 
Walikuwa wanamuiga tembo hao. Pia tunaweza sema ni "another indicator of fake GDP".

Niliwapa challenge ndugu zetu hawa, Wakenya, watuoneshe nchi yenye GDP chini ya $250 inayofanya, tunayofanya, mpaka sasa kimya.
NairobiWalker nairobae
Uhalisia wa GDP ungeonekana kwenye mambo kama haya, pia hii ni udhibitisho IMF wana mfumo tofauti na tunavyoamini wa kupanga madaraja ya uchumi kwa nchi duniani, zipo weird hidden factors nyuma ya pazia.
 
Hivi unafahamu bajeti ya elimu ya kenya ni mara mbili ya Tanzania?
Bajeti hata wewe unaweza kujiamulia wiki ijayo utatumia million 200 lakini haimaanishi mapato yako yatakua hivyo, hiyo ni mipango tu, serikali yenu inajua wengi ufahamu wenu finyu mkisomewa budget bungeni mnafikiri ndio revenues 😂😂😂 halafu big number doesn't matter hata ule mtambo wenu wa gongo ulikua na budget mara 3 ya bullet train yetu, Talanta 60k ina budget 20 times ya mkapa 62k
 
Back
Top Bottom