Kama ipo itasaidia sana watu wengi. Watu wanaotoka Zanzibar kwenda kariakoo na kivukoni, wanaokuja na SGR, wanaotoka pugu na treni la mwakyembe kwenda posta na kivukoni nk.
Ni karoute kafupi lakini Kako important sana.
Bajaji zile za mnazi mmoja, kariakoo to ferry, wazitafutie route nyingine ambayo sio city centre au Main highways, Dar ni kubwa hii. Sio lazima wakae city center
Kuhusu watu wa samaki. Itungwe Sheria ya usafirishaji. Yawepo makampuni ya usambazi wa samaki sio lazima kila mtu aende Kivukoni kununua samaki. Kile ni chakula. Kiwekew utaratibu mzr hata magari maalumu kama ilivyo mikate, na bidhaa nyingine.
Sio kusafirisha samaki kwenye mwendokasi, bajaji na bodaboda