President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,034
- 93,389
Wakiona kitu hiki, wakenya wanajificha
Kwani hiyo Bond wamenunua wakenya pekee?Kwani Talanta Stadium sio ya Mchina tena?
Si rahisi hivyo mzee! Mimi sioni tatizo la lile soko pale au Kkoo ilipo bali tatizo ni management haitaki kujiboresha! Pia Mentality ya wachuuzi pia iko hovyo! Angalia pale Karume lile soko la NSSF wamelikataa!Soko la samaki lihamishiwe kijichi na msasani,then msasani,kawe beach na kunduchi tayari kuna masoko ya samaki,ni kama vile kkoo ihamishiwe mbezi,mbagala na tegeta,dar now ina population zaidi ya watu milioni 6,miaka 5 ijayo ngoma inaweza kufika 10 mln,so ni vizuri serikali itengeneze kitu cha kufanya watu wapungue katikati ya mji,ni vile tu afrika maono yetu ila wenzetu watu ndio wanafuata mahitaji kwa afrika muuzaji ndio anamfuata mteja thus y machinga yeye akiona sehemu kuna watu wengi anaanzisha biashara hapo hapo,miamvuli kila sehemu!
Nairaland huko unaweza kukuta kenyan wanawadanganya watu hapo ni hapo ni kunyaland
Kwa hivyo munajenga soko ya hawkers. 🤣 🤣 🤣Ficha UPUMBAVU hapo ni Karume ujenzi unaendelea hata lami haijawekwa.
Chassis na Engine ambazo zinakua assembled in Kenya ili iwe gari. Ama wewe mwarabu bandia unadhani ukiwa na chassis na engine bila kushikanishwa una gari? 🤣 🤣 🤣 Primary school dropout kwani hujui cars are made on assembly lines.matatu zinatumia chasis na engine kutoka isuzu kazi yenu ni kuchonga body tu nothing else 😂😂😂😂
Unatuchekesha sana. Haya tuambie engine gani mna tumia ku assemble hizo gari? Au zile used ISUZU NQR8Chassis na Engine ambazo zinakua assembled in Kenya ili iwe gari. Ama wewe mwarabu bandia unadhani ukiwa na chassis na engine bila kushikanishwa una gari? 🤣 🤣 🤣 Primary school dropout kwani hujui cars are made on assembly lines.
Yes. Na si mlisema Talanta is 100% owned by Chinese, tena mambo imechange ama?Kwani hiyo Bond wamenunua wakenya pekee?
Kwani wewe una semaje?Yes. Na si mlisema Talanta is 100% owned by Chinese, tena mambo imechange ama?
Talanta is fully owned by Kenyans.Kwani wewe una semaje?
😅😅😅Talanta is fully owned by Kenyans.
Kwa hivyo ukiwa na engine una gari, haya basi enda ununue engine uendeshe. 🤣 🤣Unatuchekesha sana. Haya tuambie engine gani mna tumia ku assemble hizo gari? Au zile used ISUZU NQR8
They are trying to cope. Talanta ikianza Walisema haiwezi kamilika 😂.Talanta is fully owned by Kenyans.