Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwa hivyo ukiwa na engine una gari, haya basi enda ununue engine uendeshe. 🤣 🤣
Kwani hayo magari mnayonunua si yanakuja na chassis engine na cabins. Kwani unafikiri hatuoni shape za Isuzu NQR mbele ya hayo makopo?
 
Na hii ya Dar hutaki kutuonyesha.

Image


Image
Ya Dar hii hapa
1753355793530.png

1753355819008.png
 
Kwani hayo magari mnayonunua si yanakuja na chassis engine na cabins. Kwani unafikiri hatuoni shape za Isuzu NQR mbele ya hayo makopo?
Hakuna gari inakuja kama imeunganishwa chassis, engine na cabins, hizo unataja ni parts za gari ambazo hua zinaletwa ili zitengenezwe kua gari kwa assembly plant ya Isuzu. Nyinyi ndio hua muna import magari zikiwa complete. Sisi hua tunatumiwa parts tunajijengea kwa assembly plants zetu.
 
Unajua maana ya PPP? sasa tuambie kama hiyo bond italipwa na GoK hiyo nayo bado ni PPP? huoni kuna walakini hapo? Dunia nzima inajua mradi ni wa PPP na pia tunatako kuona evidence kuwa hiyo bond ilikuwa issued when and where.
So tena Talanta sio ya Mchina?😂😂
 
I can remember sharing the render hapa, watanzania walinicheka na kunitusi vile hiyo stadium haitajengwa. I think that's the most interaction I have ever gotten from a comment in this thread, funnily 90% of the reactions were from Tanzanians laughing at those renders.
Watchman alisema atafunga account if it’s built .. ( I have the receipts). Lakini bado yuko around with his head buried in the sand trying to save face 🤣🤣🤣
 
Raleigh, Durham is a very small town better Charlottesville
How do you know Charlottesville is better?.. umefika huko ama ni maoni yako tu …😁😁
Let me enlighten you …. Raleigh, Chapel Hill and Durham tri city area is the silicon valley of the East Coast of the US . So it binds well with Nairobi’s Silicon savanna aspects. Now you know
 
Signing a player for such huge amount, I guess this is more than the girl mahiya+leopard squads net worth combined.
 
Back
Top Bottom