Always late for the party lakini kelele ni kama kuku imetaga. 🤣 🤣 🤣Hii ni state of art aisee, EA na Africa kwa ujumla tunapaswa kujivunia ubunifu huu, sio kila uwanja ufanane na amahoro au hoima inatakiwa Africa tutoke nje ya box tupambane na wenzetu wa Europe na US kama hivi, Arusha stadium 🏟️ 🏟️ 😘😘😍😍🇹🇿🇹🇿🔥🔥🔥🔥