The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,616
- 98,847
Asante kwa kukubali kwamba Arusha stadium ni kiwanja bora zaidi Africa, FYI huwa hatutoki nje ya render na hatujawahi kutoka nje ya render, kama unavyoona hapaLet’s wait for the roofing first then we can give our flowers … bado haijafika
Render 👇👇
Real 👇👇😍😍😘😘