President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,010
- 93,371
Nimependa Point hii hapa:
Kilijadili namna ya Tanzania kuwa mwenyeji wa mashindano ya kimataifa ya Miss World 2026.
Huu uwanja upo tofauti sn na viwanja vingi vya ki Africa, huku Africa viwanja vingi vinafanana na amahoro au hoima, the likes of talanta wa Kenya, yn design zile wazungu walitumia miaka ya 90sArusha stadium 🏟️ View attachment 3412054View attachment 3412055View attachment 3412056View attachment 3412057kuna mbwa mmoja alikua anasema eti bado tunachimba msingi. 🤣🤣
Yeah ni kweli mkuu, Arusha stadium is very unique. Sio basic kama ule uwanja wa jirani zetu wa north. 🤣🤣Huu uwanja upo tofauti sn na viwanja vingi vya ki Africa, huku Africa viwanja vingi vinafanana na amahoro au hoima, the likes of talanta wa Kenya, yn design zile wazungu walitumia miaka ya 90s
Haya majitu ni majinga sn, sikuwahi kujua kabla kama wakenya ni wajinga hivi.Watakuambia hao ni wasomali utafikiri hapo ni Mogadishu kumbe hapo hapo chini ya kende zao😂. Ila watapost ile Mall kubwa ya wasomali na kusifia hapa Kenya 😂.
Walijenga kushindana na mkapa wakasahau Mkapa ina handle more than 65k spectators.Yeah ni kweli mkuu, Arusha stadium is very unique. Sio basic kama ule uwanja wa jirani zetu wa north. 🤣🤣
Hii facility wallahi ni world class hakiyamama, na hatupigi kelele wala nn, kimya kimya.Arusha mabegani 👇🏾. View attachment 3411997
Nmekuuliza kwnn zile boats zimetoka uturuki mana najua songoro anatengeneza hizo.Hata speed boats anatengeneza!
Haya madude walijinasibu watatuuzia kwa ajili ya mwendo kasi, du.Vituko hivi mnaendelea navyo?
View attachment 3411031
MRI za Phillips sasa zenu za bei rahisi toka China 😁
www.mloganzila.or.tz
🤣🤣🤣🤣Samia kanunua ndege mbili tu ambazo ni 737 MAX 9 registration (5H-TCP) ambayo ilikuwa delivered October 2023 na MAX 9 registration (5H-TCQ) ambayo ilikuwa delivered March 2024. Ndege zote za ATCL unazoziona zilikuwa ordered na serikali ya awamu ya 5. WACHENI UJINGA NA UCHAWA, HAUJENGI BALI UNABOMOA. Sema KWELI japo ni chungu.
Hoima Stadium is definitely better than this thing.Arusha mabegani 👇🏾. View attachment 3411997
NCC Link ni majengo ya kitu gani?Last week nilikua Dodoma, yo my brother Njedengwa ni moto wa kuotea mbali, zile gorofa ndefu zote wanazojenga ziko karibuni kuisha, ukiwa unaanza kuingia tu mjini unakaribishwa na view ya Njedengwa, it’s really coming up .. NCC link inapigwa hands down.
Your best hospital Muhimbili has a 64 Slice CT scanner and a 1.5 Tesla MRI.
![]()
Radiology - Muhimbili National Hospital - Mloganzila
RADIOLOGY DEPARTMENT RADIOLOGY DEPARTMENT Radiology Department is a department under the directorate of Clinical supportive services and deals with mainly Diagnostic radiology. Currently we are also practicing some of the […]www.mloganzila.or.tz
View attachment 3412142
KUTRRH has a 3 Tesla MRI and a 256 slice CT scanner. Hatuko ligi moja na wanyonge kama nyinyi.
View: https://x.com/OliveMugenda/status/1337471251703607297
View: https://x.com/kutrrh/status/1377258422429741057