Bro Kuna muda una akili kama mtoto aisee.Haya ni mawazo yako. Lakini huo ndio mpango wa EAC mimi nimekuwekea maelezo official ambayo viongozi wa Tanzania wameyaridhia. Huo woga wako binafsi hauwezi kuzuia mpango. Unachotakiwa ni kujiandaa tu usije kukutwa hujajiweka sawa.
Namaanisha tukiruhusu upatikanaji wa vibali kwa urahisi na kutoa elimu ya fursa za usafirishaji , watu wengi wazawa wengi watajikita huko kuliko wageni , hivyo mahitaji yataongezeka na kwa sababu soko litakuwa kubwa watu wengi watajihusisha kwenye kilimo na kuondokana na dhana kuwa kilimo hakilipi hence ajiraKuruhusu watu kusafirisha mazao nje ya nchi bipa vibali siyo solution ya tatizo la ajira.
Wakenya wengi kwa sababu ya information na sio wakenya wa kawaida bali matajiri na sio kwamba ni wengi kuliko watanzania . Ukitaka kampuni kuu za kusafirisha mazao nje mfanoKwanza wanaosafirosha mazao kwenda nje wengi ni Wakenya.
Hiyo kukodi ni ngumu sana kaka labda kama alitumia watu na hakutumia jina lake.Kuna mwaka niliona Mkenya alikodi ardhi Songwe mpaka watu wakakosa eneo la kulima akaanza kuwakodishia akiwa Kenya.
Point yangu ili kupunguza kwanza tatizo la ajira kwa muda mfupi kwa sasa tungeweza kuanzisha mfuko wa ajira mfano kama railway dev. Levy na tukaiundia Sheria ili kuweza kupata fedha ambazo zingeweza kutumia katika kutengeneza mazingira ya upatikanaji wa ajira sio na kupunguza uke mzigo ambao serikali inatakiwa itafute kwa ajili ya kulipa mishahara kwa watumishi au hiyo pesa ikatumika kuwawezesha wahitimu kuanzisha miradi yao kwa usimamizi maalumu yaan kama mkopo ambao baadae wakisimama wanakuwa wanarejesha.Utaahira.
Sasa hivi kuna Wakenya wanalima vitingui, Mnag'ola kama siyo UTAAHIRA ni nino??
Shida siyonukosefu wa wataalamu. Shida yetu ni WAGE BILL.
Mapato ndio yanaendana na idadi ya watu wanaoajiriwa kwa sasa.
Nimetoa mfano tu wa import duty ila bado ila unaweza tengeneza Kodi yoyote kwa ajili ya ajira tu kama ilivyo sasa sdlSijakuelewa upunguze Import duty halacu upate tena pesa 5% uipate kutoka wapi wakati hum-chadge importer??
Ushuru unatozwa pale mtu anaposafirisha mazao Toka sehemu moja kwenda nyingine na sio kutoa shambani kupeleka nyumbani.Lakimi.pia kupunguza duty duty, tafsiri yako unataka kugeuza taifa lako kuw ala kimachinga.
Ukishageuza taofa lako kuw ala kimachinga , maana unaua ajira, NSSF na uchumi.
nchi inatakiwa kupambania Industrial manufacturing
Hapa sijakuelewa.
Kwenye mazao yote, mashambani au wapi?
Halmashauri zote zina vibafua wa mapato.
Nadhani wanaweza kwa ziaid ya hao 200 kwa Dar es Salaam.
Sasa hivi ni muda wa Dodoma buanaWafanye mpango pale gerezani waweke tunnel, na kote kwenye junction ya BRT zijengwe flyover au tunnels, waache ushamba.
Ndio maana huyu jamaa namshangaa sana muda mwingine sijui huwa anatumia akili gani!?Dola moja ni uhuni.
Huwezi kuungana na watu ambao hawana cha ku-OFFER.
Nchi kama Kenya haina MSINGI wowote wa nchi.
- Ardhi
- Lugha
- Sera mambo ya nje
- BATUK, Camp Simba
Siku zote wanataka TZ ndio itoe.
Usenge.
===
Imagine, Rwanda, Kenya wanataka eti Ardhi iingizwe kwenye agenda za Jumuiya, kwamba raia yoyoye ndaninya Jumuiya aruhusiwe kuhama na kuishi popote ndani ya Jumuiya.
Waseenge.
Wao hiyo ardhi WANAYO???
Tatizo viongozi wetu wanakariri sn, sio kila penye junction panahitaji flyover, wanaweza kuweka tunnels pia na ikawa solution, mfano kwenye junction zote ambapo BRT zinapita wangehakikisha wanajenga tunnels kama sio flyover au zote kwa pamoja.
Dar zijengwe na Dodoma pia zitajengwa, no problem, we can.Sasa hivi ni muda wa Dodoma buana
Kenya maisha ni tight sanaHii Nchi ya kasongo hapana aisee 🤣🤣👇👇
View: https://www.instagram.com/p/DMGDwSCCJp-/?igsh=Y2tnbjBhY3A5ZWRx
Itikadi zilezile za Banyarwanda na Banyamulenge!Hizo unaweka Prompt za AI kaka. Sukuma/Nyamwezi is not a tribe. Ni kama kusema Waswahili ni tribe.
Akina Hamisa Mobetto, Kajara Masanja, Wema Sepetu, Flaviana Matata nk wote hao ni jamii ya (Sukuma/Nyamwezi).
Kwenye mila za kisukuma/Kinyamwezi datoga(Wataturu, Barabaig) Wanaheshimika sana. Mang'ati ni neno la kimasai maana yake Adui
Datoga na Sukuma/Nyamwezi ni kitu kimoja. But Massai na Sukuma/Nyamwezi hawapikiki kwenye chungu kimoja ni maadui.
Kama unataka uelewe zaidi. Majina ya Wasukuma/Wanyamwezi utakuta ni ya makabila mengine kabisa hayana maana kwenye lugha ya Kisukuma/Nyamwezi.
HII ISSUE NI NGUMU HUWEZI KUILEWA KAKA.
Nchi kama Marekani inaweza kukomaa na wahamiaji, kwasababu kila mtu anakula kwa jasho. Serikali inataka kodi tu.Ndio maana huyu jamaa namshangaa sana muda mwingine sijui huwa anatumia akili gani!?
Huyo USA mwenyewe ameanza kupunguza nguvu kwenye mashariki ya kimataifa ikiwemo NATO.
Sembuse wewe Mtanzania!?
Maana nchi iliyo stable ukanda huu kwa Kila kitu ni Tanzania.
Hizo nchi zingine have nothing to offer to us zaidi sisi tutakua tegemezi tu.
Je resources zetu zitatosha kugawanywa na hao watakaokua chini yetu!?
Hii Zanzibar tumeungana nayo ila still changamoto kibao.
Do not eat much what you can't chew.
Saa brother unanishambulia mimi binafsi. Nimekuwekea mpango wa EAC kuwa nchi moja. Na Tanzania ni sehemu ya EAC ikiwemo Rwanda na Burundi.Bro Kuna muda una akili kama mtoto aisee.
Kwahiyo Kila wanachofanya viongozi wetu basi ni sahihi?
Kwahiyo mtu kuwa na mawazo tofauti ni sawa na uoga?
Au hupendi watu watizame mambo kiutofauti!?
Yani mtu akiwa na mtazamo tofauti unampa jina mara muoga mara hisia binafsi.
Acha hizo,ni kosa kubwa sana kama hizo nchi zitaungana chini ya bendera moja na Tanzania.
Tupo hapa tutaona,Kigoma nadhani unayakumbuka mauaji na uhalifu wa tereza,ni warundi wale walikua wanafanya vile.
Nadhani watutsi unawajua vizuri pia wakoje.
Wewe endelea kushabikia vitu kiuchawa uchawa ukipewa kisa viongozi wamepanga basi kwako sawa tu.
Sasa hapo Tatizo lipo wapi? Kama Sukuma/Nyamwezi unawaweka kwenye kundi la Banyarwanda na Banyamulenge je, unataka kuwaodoa Tanzania? Sukuma/Nyamwezi ni zaidi ya 20% ya Population ya Tanzania. Rostam Aziz na yeye ni Msukuma. Lakini Rostam Aziz wazazi wake asili yake ni Persia.Itikadi zilezile za Banyarwanda na Banyamulenge!
Tanzania tumetoa sana Uraia kwa Warundi, lakini ni wale wanaokaa kwenye kambi za wakimbizi miaka 20+Embu panua akili kidogo,Burundi Ina matatizo ya ndani ambayo mengine yanachagizwa na ukabila.
Rwanda na ni exactly vile vile.
Kukaribisha hao watu chini ya bendera Moja ni kujiongezea matatizo kwa kuyabeba matatizo yao.
Mrundi ni Mrundi tu hata Aishi wapi exactly kwa Mnyarwanda.
Tena bora Mrundi anakumbuka fadhila ila Mnyarwanda hachelei kunyea mkono unaomlisha,tunaishi nao tunawajua hao.
Lakini hatuwezi ruhusu uhamiaji haram kisa jumuiya zisizo eleweka za EACSaa brother unanishambulia mimi binafsi. Nimekuwekea mpango wa EAC kuwa nchi moja. Na Tanzania ni sehemu ya EAC ikiwemo Rwanda na Burundi.
Mimi nimekuwekea reality wewe unaniletea hisia.
Huo kaka ndio mpango wa EAC na mwasisi wake ni Tanzania. Sasa kosa langu ni lipi?
EAC ipo kwasababu za kijiografia tu.Lakini hatuwezi ruhusu uhamiaji haram kisa jumuiya zisizo eleweka za EAC
Umesoma point yako kule juu kaka!?Saa brother unanishambulia mimi binafsi. Nimekuwekea mpango wa EAC kuwa nchi moja. Na Tanzania ni sehemu ya EAC ikiwemo Rwanda na Burundi.
Mimi nimekuwekea reality wewe unaniletea hisia.
Huo kaka ndio mpango wa EAC na mwasisi wake ni Tanzania. Sasa kosa langu ni lipi?
Mzinga.? Technology ya kutengeneza mzinga unaijua wewe.? 🤣🤣 hao wapuuzi Kunyarenda hawana hata technology ya kutengeneza baruti.watakuambia Kenya GDP yake ni 6 times ya North Korea 😂😂😂njoo kwa ground sasa hata kutengeneza mzinga mmoja wa kuruka 5km hawawezi halafu linganisha miji ya NK na Kenya uone kituko. Wealth is visible sio kwenye makaratasi.