Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

unajua maana ya ku-launch project?
 
Mafuta ya taa dah πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
Hiyo Thika ndio wana mpango wa kuipa hadhi ya City.
 
Nairobi only lack enough stadiums
Other things ziko in abundance. I'll with stadiums around it's metro one at limuru, thika, ruiru, machakos, ngong etc afcon inahost vizuri sana
Nairobi si kama iyo Ibadan yenu hapo chini takataka ushago from A to Z.
 
Mafuta ya taa dah πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
Tanzania villages ni ngumu sana kukuta wanatumia mafuta ya taa kama chanzo cha nishati, utakuta taa za sola au za kuchaji.
Ila kunya karne hii mjini bado wanatumia "kerosene stove" kupikia zile ukizima zinatoa harafu kali balaa. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
In Tz ni mwendo wa clean energy tuu. huko tushatoka kitambo tangu 90s
Hakuna mtanzania mwenye akili timamu atatumia kerosene kama source of energy sababu ni vey expensive compared to gas, bei ya gas ni 19k wakati kerosene lita ni 2.7k na inaweza isitoshe mahitaji ya siku

Kunyaland gas ni bei ghali mpaka watu wanaona kutumia kerosene ni cheap, imagine how fucked up hii Shithole is.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…