President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 33,992
- 93,340
KENYA VS Tanzania E-Payment
NB: Wakenya wanachekesha sana.
- GePG (Tanzania) ni "Gateway" ya malipo iliyojikita kwenye backend. Lengo lake ni kuhakikisha serikali inadhibiti na kupatanisha malipo yote yanayoingia, haijalishi yametoka wapi. Unapewa "ankara" (Control Number) na wewe unatafuta njia ya kuilipia.
- eCitizen (Kenya) ni "Portal" ya huduma iliyojikita kwenye frontend. Lengo lake ni kumpa mwananchi sehemu moja ya kupata huduma na kuilipia kwa urahisi. Hapa, M-PESA inafanya kazi kama "injini" ya malipo iliyounganishwa moja kwa moja kufanikisha urahisi huo.
NB: Wakenya wanachekesha sana.