We’ve talked about this many times mate , weren’t you listening?Na Ile ya Arusha imefika wapi Mr. Game Over?
Mnavyosherehekea mtu hawezi jua juzi tu mmekuwa mkiiponda FIFA ranking eti Iko corrupt na haileti hali halisia ya mambo yalivyo. Natumia mtaendelea kuiamini FIFA hata tutakapowashinda tena which is sooner than you think. Mnakuwanga na kasumba ya kutokubali statistics zinapowaonyesha kuwa nyuma ya Kenya.Latest Men's FIFA ranking, tuone nchi yako iko namba ngapi. 😂😂😂
View attachment 3164478
Aliyeponda ni mimi?Mnavyosherehekea mtu hawezi jua juzi tu mmekuwa mkiiponda FIFA ranking eti Iko corrupt na haileti hali halisia ya mambo yalivyo. Natumia mtaendelea kuiamini FIFA hata tutakapowashinda tena which is sooner than you think. Mnakuwanga na kasumba ya kutokubali statistics zinapowaonyesha kuwa nyuma ya Kenya.
We’ve talked about this many times mate , weren’t you listening?
Tanzania si broke Kama Kenya , we have money to do such minor projects even at higher magnitude without noise ,
I tell you again . We fund this thing with our money 100%, And there is another one U/c in Zanzibar , be ready for Launch of Dodoma Stadium Few days to Come .
NB: Have you checked the latest FIFA Men Natuonal Teams Rankings ?
Tazama uwanja wa Arusha a moth or two ago.
View: https://youtu.be/nxFiEtDHBug?si=6JodjYYTj9iJYWfD
Leo hii ndio mnasema ni uhalisia?🤣Aliyeponda ni mimi?
Btw hawakuponda walikuwa wanasema uhalisia, ni kichaka gani mtajificha sasa hivi!
Both women's and men's team tunawatomb* kwenye rankings. 😂😂😂Tanzania is now officially ranked by FIFA, higher than Kenya when it comes to Men Football National Team.
Kile kichaka walikuwa wanajificha tumekifyekelea Mbali 😀😀😀
Timu yenu mara ya mwisho kushirikiri Afcon ni lini?Leo hii ndio mnasema ni uhalisia?🤣
Vichaka vyote vinafyekwa 😀😀😀Both women's and men's team tunawatomb* kwenye rankings. 😂😂😂
February mtarudi nyuma yetu, mark my words. From February all our home matches will be played at home. Even with Tanzania having a home advantage for three conseyears compared to Kenya, I ewachukua miaka tatu kutupita. It will only take Kenya 1 game to overtake Tanzania again.Kichaka walichokuwa wanajifichia tumekwisha kifyeka 🤣🤣🤣🤣
![]()
Micky Jnr African Football Journalist
Men’s FIFA Rankings — Africa. 🚨🌍 21. Benin — 94th (World) 22. Mozambique — 96th 23. Comoros — 103rd 24. Tanzania — 106th 25. Kenya — 108th 26. Mauritania — 109th 27. Namibia — 111st 28. Sudan —...www.facebook.com
hapa siongelei chuki tunaongelea uhalisia wa mambo 😂😂😂😂Huyo ni mpuuzi tuu hanaga hoja ila chuki binafsi.
Ruksa kumchukia SSH lakini hutakiwi kupinga maendeleo ambayo wewe mwenyewe unanufaika nayo japo una Haki ya kutoa maoni Chanya au otherwise
hehehehehe acha tu nicheke kaka😂😂Mwanza to Port Bell ni overnight trip tuu. Sasa train ikitoka Dar Port in 7 hours iko mwanza then marshaling overnight iko Port bell. Yaani from Dar to Port Bell in 24 hours.
Mnalazimisha muwe jangwa ili mpewe misaada ya chakulaAcha ufala ,Dodoma si jangwa.
It is like kajiado,laikipia counties
Tanzanians ni watu wa ajabu sana, they only praise what favors them. Next year wataanza kukaashifu FIFA after tushawapita ranking tena😂😂😂.Mnavyosherehekea mtu hawezi jua juzi tu mmekuwa mkiiponda FIFA ranking eti Iko corrupt na haileti hali halisia ya mambo yalivyo. Natumia mtaendelea kuiamini FIFA hata tutakapowashinda tena which is sooner than you think. Mnakuwanga na kasumba ya kutokubali statistics zinapowaonyesha kuwa nyuma ya Kenya.
Lakini uwanja huo ni Mali halali ya mchina kwanini unauita wenuSii broke na uwanja wetu umepiga hatua kuliko wenu licha ya kuwa wetu ni mkubwa zaidi?🤣🤣👏🏾