hata ulie vipi siachii kende 🤣🤣🤣🤣All the companies in Tanzania are owned by foreigners from Indians, Arabs, Chinese, Europeans, South Africans to Kenyans. Nyinyi hakuna kitu mnamiliki tofauti na jina la nchi.
hata ulie vipi siachii kende 🤣🤣🤣🤣All the companies in Tanzania are owned by foreigners from Indians, Arabs, Chinese, Europeans, South Africans to Kenyans. Nyinyi hakuna kitu mnamiliki tofauti na jina la nchi.
Sisi huwa tunakuhurumia tu. Unavyojitutumua kutaka kujionesha kuwa upo vizuri lakini ukweli watu wote hapa JF wanajua kuwa wewe ni masikini wa kutupwa.Are all Tanzanians this foolish?
Usikute hata Afcon wasi host hawa wakenya.Hivi CHAN itafanyika kweli Kenya? Na haya maandamano?
Naskia GenZ wanapanga maandamano zaidi wiki hii!Usikute hata Afcon wasi host hawa wakenya.
Yanayotokea Kenya yameharibu miundombinu mingi sana hadi ya usafirishaji,pia imeonesha uteterekaji wa kiamani na hapo wamepanga maandamano siku nyingine zaidi.Naskia GenZ wanapanga maandamano zaidi wiki hii!
Hamna CHAN wala AFCON hapo.Hivi CHAN itafanyika kweli Kenya? Na haya maandamano?
Yeah hamna kaka,maana miundombinu ilivyoharibika ni aibu.Hamna CHAN wala AFCON hapo.
Huyu jamaa niliwahi kumchana kipindi fulani. Alionesha picha ya Mercedes akidai kuwa zinaibiwa South Africa, nikaamuuliza atoe ushahidi wa hilo.How a Tanzanian startup is moving over $1 billion to Africa and Asia
Thursday, July 10, 2025
Nala Founder and CEO Benjamin Fernandes speaks during an interview with The Citizen Managing Editor Mpoki Thomson. PHOTO | SUNDAY GEORGE
By Mpoki Thomson
Managing Editor of The Citizen Newspaper
Mwananchi Communications Limited
What you need to know:
Benjamin Fernandes,founder and CEO of Nala has opened up about the challenges he faced launching his fintech company in Tanzania
Despite early setbacks, he successfully built a customer base in Kenya and today Nala facilitates over $1 billion in remittances to Africa and Asia
![]()
How a Tanzanian startup is moving over $1 billion to Africa and Asia
Nala Founder and CEO Benjamin Fernandes opens up about overcoming early challenges to build one of Africa's leading remittance companies.www.thecitizen.co.tz
MY TAKE
The idiot is way brainwashed! Chinese countries n other english non speaking countries do apps too! Imagine Mtanzania anajibu hivi on a media for the whole World to read! Mo Dewji hawezi kufanya hivi! Bwamdogo fala sana!
Hii media ni ya Kenya na wapo kuharibu tu!Hajui kwamba yeye na hiyo media wanaharibu investment market ya Tanzania. People can just skip Tanzania for reading such articles online. Na ubaya AI chats na google wanacollect all those info online. Mtu akigoogle about investment environment in Tanzania, google wataleta such results
He failed yes in Tanzania but there are successful investors in Tanzania.
Na pia sis watz inabidi media zetu sometimes zifocus na achievements za baadhi ya watz kwenye Tech.
Naona wanaongelea GePG, Bus bora, mwendokasi app, Tausi etc. walipaswa waliodevelop hio mifumo wawe wanapewa platform na media, hii it's inspire vijana wa kitanzania zaidi kudevelop mifumo zaidi ya namna hiyo.
Huyo Ferdinand anajisifia his achievements kama yeye tu. He doesn't care about Tanzania and business space. Anawaharibia Tanzania Investment Center
Na iwe hivyo kwa jina la bwana!Hamna CHAN wala AFCON hapo.
Napenda sana mnavyojifariji. Bongolala, AFCON will be held in Kenya and get prepared to come for the opening and closing ceremonies in NairobiYanayotokea Kenya yameharibu miundombinu mingi sana hadi ya usafirishaji,pia imeonesha uteterekaji wa kiamani na hapo wamepanga maandamano siku nyingine zaidi.
Sidhani kama Afcon wata host hawa.