concordile 101
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 6,991
- 15,437
Miaka mingapi vile ? Ukimsikiliza vizuri kadogosa Kuna sehem kasema dodoma ni sehemu ndogo tu ya mafuriko ya mwanza peak season inafikia 10,000 passengers na lower season ni 6000 wakati kundustan peak season ni 7000 ukifika mwanza tutarajie kupiga mpaka abiria 100,000 kwa siku hapo hatujapiga bao la cobalt