Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hawa jamaa wamekomaa na capert la bandia kuzunguka uwanja halafu picha hakuna.Kwanza sijawahi ona kitu kama hiki popote
Hapo ndio wivu imekufikisha kijana wa Tandale? Wewe taka tiketi mapema uje utazame fainali Kasarani

Hii hapa playing turf. Una lingine la kusema?
FB_IMG_1750527068091.jpg
 
Kenya Exported goods worth $8.7B in Total while Tanzania total export in 2024 was $8.2B.
Ebu tuwekee total Kenyan exports versus total Tanzania exports
Quarterly reports🤣🤣🤣🤣
Hiyo report ya sgr imecover q1 na q2 ambayo q1 inaanzia 1/7/2024- 30/9/2024 na q2 1/10/2024 mpaka 30/12/2024
Q3 inaanza 1/1/2025 mpaka 30/3/2025
Q4 =1/4/2025 mpaka 30/6/2025
Data za Q3 na Q4 ziko wapi
 
Endelea kupingana na Serikali yako.😂😂🤣.

All your lies has been laid bare by your government. Thank God for the internet.
 
Endelea kupingana na Serikali yako.😂😂🤣.

All your lies has been laid bare by your government. Thank God for the internet.
Tunashukuru mungu mtandao
Kwahiyo kwa Kila mwezi mlikuwa mnasafirisha abiria 58,000 sawa na abiria 1900 kwa siku .
Treni kwa trip zinabeba 1000 ziko na jumla trip 6 kwenda Dom yaan abiria 6000 Yan kwa siku 11 kwa sasa tunasaifirisha abirisha wa mwez kipindi mnafungua🤣🤣🤣🤣
chrome_screenshot_Jul 5, 2025 2_07_28 PM GMT+03_00.png
 
Tunashukuru mungu mtandao
Kwahiyo kwa Kila mwezi mlikuwa mnasafirisha abiria 58,000 sawa na abiria 1900 kwa siku .
Treni kwa trip zinabeba 1000 ziko na jumla trip 6 kwenda Dom yaan abiria 6000 Yan kwa siku 11 kwa sasa tunasaifirisha abirisha wa mwez kipindi mnafungua🤣🤣🤣🤣
View attachment 3394884
SGR Ukunduni was all success till SGR Dar-Dom started! In short SGR Ukunduni is a complete failure! How can a one year SGR Tanzania beat up an 8 years old SGR in Kundustan n in the year of inauguration? Damn SGR Tanzania carried around 2.5 mln PAX!

Teargass anajua ila ana troll!
 
Yaan hawa majirani zetu buana ni wa kuwaonea huruma ,eti mwaka mzima freight iingize 863,177 usd kweli utalipa deni

1 MIN READ

Kenya’s SGR train service ferried 1.7m passengers in 2018​

By
June 16, 2023
Kenya’s Standard Gauge Railway train service ferried 1.7 million passengers in 2018, the national statistics bureau said on Wednesday.

sgr.jpg
A train launched to operate on the Standard Gauge Railway (SGR) line constructed by the China Road and Bridge Corporation (CRBC) and financed by Chinese government arrives at the Nairobi Terminus on the outskirts of Nairobi, Kenya May 31, 2017. REUTERS/Thomas Mukoya
The figure is more than double the passengers the train service, dubbed Madaraka Express, carried from mid-2017, when it started, till the end of 2017, the Kenya National Bureau of Statistics (KNBS) said in a report.

“In 2017, the train transported 699,055 passengers between June and December, with the number rising to 1.67 million in 2018,” the report said.

Among the passengers, 186,718 were transported during the December peak season, when the train was fully booked. May recorded the least number of passengers at 116,171, according to the KNBS.

The train service, which takes about five hours one way between Nairobi and Mombasa.

Travel charges stand at Ksh1,000 (about $10) for the economy class and $30 for first class.

The Standard Gauge Railway freight service ferried 5.03 million tonnes of goods in 2018, bringing in a total revenue of US$863,177
 
SGR Ukunduni was all success till SGR Dar-Dom started! In short SGR Ukunduni is a complete failure! How can a one year SGR Tanzania beat up an 8 years old SGR in Kundustan n in the year of inauguration?

Teargass anajua ila ana troll!
Unafirisha tani 5mil halafu unapata mapato ya 862,133 kweli si Bora tuwaachie wa malori yaan usafirishe lorry Toka Mombasa to Nairobi kwa ksh 779🤣🤣🤣🤣🤣
 
SGR Ukunduni was all success till SGR Dar-Dom started! In short SGR Ukunduni is a complete failure! How can a one year SGR Tanzania beat up an 8 years old SGR in Kundustan n in the year of inauguration? Damn SGR Tanzania carried around 2.5 mln PAX!

Teargass anajua ila ana troll!
Ukichukua abiria wa 2017 na 2018 kwa Kenya bado hawafikii idadi ya abiria waliosafirisha na trc kuanzia 1/6/2024 mpaka 30/03/2025 yaani miezi tisa kwa miaka miwili.
 
Ukichukua abiria wa 2017 na 2018 kwa Kenya bado hawafikii idadi ya abiria waliosafirisha na trc kuanzia 1/6/2024 mpaka 30/03/2025 yaani miezi tisa kwa miaka miwili.
Alikuja na majivuno wenyewe wanaita pride kwa kiswahili chao kibovu asijue mwaka wa kwanza tu SGR Tanzania imepindua meza!

SGR Tanzania itapita 2.5 mln PAX ukizingatia mwezi wa June hata frequencies za trains na flights ziliongezeka kutokana na mahitaji!
 
Mpaka April tulikuwa kwenye 2.3mil bado ukiangalia kuanzia mwishoni mwa mwez wa Tano hali imekuwa mbaya sana kupata ticket, sasa treni za mpaka 7/7/2025 zimejaa zote hata Ile ibiwa ibiwa ambayo wengine tulikuwa tunafanya kukata ticket letsay mpaka Moro the unatafuta bus imekuwa nadra .
Leo nilikuwa natafuta basi kutoka Dom asubuhi kwenda dar shabiby naambiwa mpaka kesho kutwa.
 
Back
Top Bottom