Sasa kuna haja gani ya kumsomesha mtu asiyeweza tambua hata utofauti wa uwekezaji na matumizi .
Hakuna kitabu chochote Cha uchumi kinarecord za kumsomesha mtu kama ni uwekezaji
No wonder exports of Tanzania is double of that of Kenya, inaonesha Kenyan mmezoea kuwa watumwa hamuwez zalisha
Remittances tushajadili ni utumwa , zingumzia fdi hapa maana ndo zinaleta hali halisi uwekezaji
Cash is a liquid asset muda wowote Inaweza potea ila barabara haiwezi potea sasa tuambie wewe ukiwa na trillion moja cash nami nikiwa mabasi 40 na cash ya 1mil nan anahela nyingi?
Brt Iko kazini mwaka wa 10 na expansion bado inafanyika
Sgr ishafika mwaka kwa 63% ya ujenzi
View: https://vm.tiktok.com/ZMSVd26Nj/
Meanwhile Kenyan brt
View: https://vm.tiktok.com/ZMSVdAdHd/
View: https://vm.tiktok.com/ZMSVd3on9/