Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Duh hii inaitwa "TUMEKOMBA" hawa wanusa gundi walikuwa wanatembelea nyota ya Tanzania enzi zile tumelala, now kila kitu kipo open wanaumbuka. Basi hutowaona siku mbili 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
sasa tumebakia kwenye airline tu invest heavily kwenye kununua ndege za kisasa na kuongeza safari across africa and globe in general

bila kusahau kusimamia kwa uchungu rasilimali za taifa na kwa uweledi mkubwa

nimefurah kuona nyerere national park imechukua tuzo maono ya hayati magu kwa kweli he was right
 
ndio haya nasema yani hua tunasubiri dakika za mwisho kabisa maji yashatufika shingoni ndio tunahangaika sasa hii kitu hua inanikera sana
Na hilo ndo tatizo tulilonalo kwa serikali ya Tanzania.
Watu hawaact kwa muda. Yaan imefika hatua wananchi wanact fasth kuliko Serikali. Na ndo unaopelekea kuwa na unplanned settlements nyingi.

City Centre wangefukia kwanza nyaya za umeme ndo wajenge sidewalks lakin sijui sana mpango gani.
 
The white dude ni attention seeker. Kenya ambayo ni USA surrogate state haijawawi kupokea $40B aid toka USA ndio iwe socialist state, Tanzania?
You receive $2.8B every year..............now do the Maths for 19 years.

PS, Tanzania receives more aid than Kenya. Tukiwaambia mmedanganywa na wanasiasa wenu mnaona tunawatania.
 
The Kenyan revolution will spearhead an African revolution. It shall be written in history books that the revolution that led to the development of Africa was started by Kenyan youths. Na hii haitokuwa mbwembwe za watani wa vijiweni kama wa hapo Dar wanaojisifu waliikomboa Africa wakati hamna nchi inayowatambua. This is evident for everyone to see.
 
instanbul vipi ile 88% penetration yako? 🤣 🤣
Unamsikiliza kichaa anayesema hajui TZ iko wap and 3 hours later anapost yuko Mlowo Mbeya huko. Kafikaje Mbeya.

Acheni kuwaabudu hao Americans. Nako kuna wapumbavu wengi tu

Meanwhile tunaendelea kuwa independent kwa matumizi zaidi ya gesi
1751184036448.jpg
 
sasa tumebakia kwenye airline tu invest heavily kwenye kununua ndege za kisasa na kuongeza safari across africa and globe in general

bila kusahau kusimamia kwa uchungu rasilimali za taifa na kwa uweledi mkubwa

nimefurah kuona nyerere national park imechukua tuzo maono ya hayati magu kwa kweli he was right
Southern circuit inahitaji International airport.
 
Unamsikiliza kichaa anayesema hajui TZ iko wap and 3 hours later anapost yuko Mlowo Mbeya huko. Kafikaje Mbeya.

Acheni kuwaabudu hao Americans. Nako kuna wapumbavu wengi tu

Meanwhile tunaendelea kuwa independent kwa matumizi zaidi ya gesiView attachment 3388131
Shida yenu ni kiingereza alafu tukiwaambia mnaona tunawachukia. Jamaa hajasema haijui Tanzania. Amesema wamarekani wengi hawajui Tanzania iko wapi kwenye ramani ya dunia ila yeye mwenyewe yupo Tanzania.
Alafu huwa mnanifurahisha kila mara mzungu akisema kitu negative kwenu mnasema tunawaabudu wazungu yet huyo huyo mzungu akisema kitu negative kuhusu Kenya mnakiandika kwenye Gospel yenu ya Nyerere's Epistles to Kenya - hamtowai sahau na mnawafundisha hadi wajukuu wenu. 🤣 🤣 🤣
 
Kwahiyo huyo jamaa kusema haijui Tanzania Ndio nini yani.? Kwamba Ndio Tz itakosa kuchukua tuzo ya best airport in Africa au.? 🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom