That picture of his made me laughmwaiofhawaii ndio maana Foundational black Americans wanasema wanaweza spot an African miles away, zero sense of fashion. Kakunja-kunja sleeves kama Mfuko wa nyanya 😂 😂 🚮🚮
That picture of his made me laughmwaiofhawaii ndio maana Foundational black Americans wanasema wanaweza spot an African miles away, zero sense of fashion. Kakunja-kunja sleeves kama Mfuko wa nyanya 😂 😂 🚮🚮
Multipartism hatukuichagua kaka, ililazimishiwa tu na world order.Siasa za vyama vingi na utawala wa sheria ni NCHI, AMANI na USALAMA wa nchi.
TZ tulichagua wenyewe vyama vya siasa, na utawala wa sheria.
Watu wachaguane kwa kura na wanaotafuta haki waende mahakamani.
Kama hiyo mifumo haifanyi kazi, maana yake unataka watu wafanye nini kutoa nyongo zao.
FmDRC, RWANDA, UGANDA, BURUNDI, MSUMBIJI kote kuna VIKUNDI vyenye silaha vinapogana MSITUNI.
WEST AFRICA huko wamechavuna wanajeshi, kupinduana madaraka KILA Siku na VILUNDI MSITUNI.
Msifikiri Nyerere alikuwa MJINGA.
Amani ya nchi hailindwi kwa MABOMU na BUNDUKI.
Siku ikivurugika, haitakuja kukaa sawa tena, maana hivyo vikundi vitajiungana wahuni wa dunia huko, vitawapa SILAHA na MADINI vitakuwa vinachomba bure wakati UTALII hautakuwepo.
Nchi itakufa.
Na hizi mentality za matusi ni za watu wapumbavu tu, kwamba chama kimoja tunndio kinatukumanwa nchi hii, wengine malaika??
Mwisho wa siku wananchi wanajua na wanaelewa, hakuna sababu ya kulazimisha FIKRA.
Kama tulilazimishwa, na hatuwezi kuiepuka kwanini tusii-customize iendane na mahitaji yetu?Multipartism hatukuichagua kaka, ililazimishiwa tu na world order.
Yet you all want to live in SA and no South African wants to live in Bongoslum.Kenya ni taifa la malofa. Ni taifa lenye utamaduni wa kujikweza na kutaka seat za mbele, unfortunately mtumbwi unazama.
Mataifa mengine ni: Nigeria, South Africa.
Acheni shobo na SA.Yet you all want to live in SA and no South African wants to live in Bongoslum.
Kweli simba ipo juu yaani hao jamaa wameshindwa kupata mafaki ya njano?
Kuishi America kwako ni dream nzuri sio. What a myopic thinking for an African man. I am dissapointed in you as a fellow African.Why would I cry?… 🤣🤣… your comeback is wack !… I am living my American dream whereas you got ur ass handed to you by ICE . Your ban is 10 years per the law. You got 8 more years to go ..Stay away ..🤣🤣
Sasa ukitaja SA mbele ya TZ c utaonekana fala!! Hakuna Mtz anayetaka kwenda SA nowadays.Yet you all want to live in SA and no South African wants to live in Bongoslum.
Siasa za vyama vingi Tanzania ni upumbavu mtupu,
Tanzania kiongozi wa upunzani hawaletagi sera mbadala ispokua wanaleta matusi, kejeli, kutukana watu, kujipa umuhimu na ujinga mwingine unaofanana na huo… wengine wanaenda mbalii kabisa wanaleta usaliti kwa taifa mfano Tundulisu. Unayakumbuka maneno haya .?👇🏾
View: https://youtu.be/b5bRxLfG44g?si=TPo3Xxx0TXg8Mt94. Huyu bwana Lisu hayastahili maisha kabisa. Vitu kama hivi Ndio vinavyowasababisha kuuwawa na kutekwa…,
My take.
Nikiwa kama mtanzania mzalendo na mpenda maendeleo wa taifa hili, nasapoti hatua kali za kinidhamu kwa watovu wa tabia , taifa halijengwi kwa matusi na usaliti.. ingawa sisapoti utekeji.
Umeona aircraft manufacturing point ni kubwa sana kidiscuss ukaona ulete fake data to suit your egoThe country with 120 homegrown registered pilots say whaaat?
Katombwerr.
View attachment 3388292
Yani hili suala linaniumiza moyo sana.. yangekua ni mamlaka yangu ningefutulia mbali vyama vyote vya hovyo kwenye hili taifa.Hapo kwenye usaliti sasa,sijawahi kuona upinzani wa nchi yoyote duniani unapambana nchi yao iwekewe vikwazo,yan upinzani tayari hata utengeneze matukio ili tu nchi ionekane ya kidikteta,upinzani ulimfelisha magu kwa % flan aliporeact hata wenzake huko ccm wakawa kama awamuungi mkono,alipofariki wakataka kuwabeba wapinzani if magu akuwa sahihi,kilichowakuta ndio wanajua magu alikua na maono ya mbali