Nicxie
JF-Expert Member
- Jun 20, 2017
- 22,151
- 17,897
Sasa Arusha itakayo host CHAN inaizidi Mombasa amabayo haitahost CHAN kwa lipi?Mwaka huu watajinyonga Chan ndiyo itakayo wapa matokeo kuwa wameendelea au wanajidanganya maake hakuna mji nje ya Nairobi utakao host mashindano ya caf ina maana huko kwingine hakuna miundombinu inayosapoti wageni na wenyeji Failed State