Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

mwaiofhawaii ndio maana Foundational black Americans wanasema wanaweza spot an African miles away, zero sense of fashion. Kakunja-kunja sleeves kama Mfuko wa nyanya 😂 😂 🚮🚮
All these are phat farm clothing just like mine. And these are not Africans….I am sure you can spot the rapper below that performed in Dar a few years ago . Before he switched fashion, he dressed just like me back then.. Since you never lived here, you won’t comprehend…I grew up here ..😜
IMG_7107.jpeg
IMG_7106.jpeg
 
Having a sense of fashion is not about dressing according to the latest trends or watching videos of black Americans most of whom are weed smokers and x-street kids.
Sense of fashion: knowing how to dress and look good. Knowing appropriate clothes, colors and how to wear them.
I agree .. but we all pass through a phase of growing up … you can’t judge young people and their sense of group thinking …..and don’t hate on Black Americans. They are the most aped people in the world of entertainment. Hata Bongo artists imitate them till today …Black Americans set the trend that’s copied worldwide every time. You can’t deny that .Show me a Bongo artist that doesn’t imitate Black Americans especially in mannerisms.
 
Good that you agree.
I don't hate them, I just stated the obvious facts.
Sio bongo artists tu, all foolish people chase the wind.
 
Jambo la muhimu ni agenda, anayokuwa anazungumzia kwa wakati husika.

Tabia binafsi mwachie mwenyewe.

Watu wote hatutaki siasa za wizi, dhulma, ubaguzi, ukabila, mauaji, wahuni na risasi.

Kwasababu zitakuja kuua nchi.

DRC kuna vikundi zaidi ya 100 vinapigana msituni.

West africa wanapinduana kila siku.

TZ tulichagua vyama vya siasa, uchaguzi, na kutatua matatizo yetu kwa mazungumzo na sheria.

Sasa ukizuia sheria kufanya kazi, uchaguzi ukiwa hauna maana, kura haina thamani maana yake unataka watu wasio ridhika wapate haki vipi?

Maana yake unataka nchi ivuruguke kabisa
Nchi yetu bado sana tulikimbia siasa za ujamaa/ukumunisti kwamba zisingeweza kumkwamua mtanzania kwenye umaskini tukakimbilia kwenye demokrasia napo imetushinda sasa sijui tunatakaje alafu bado tumamtafuta mchawi wetu nani
 
Demokrasia ni watu kuchaguana.

Tunachaguana kwenye vikao vya ukoo, kamati za harusi, viongozi wa mitaa.

Kwanini kuchguana kwenye madaraka ya kuendesha nchi mpaka kuwepo na dhulma, mauaji, utekaji, kutupana jela bila hatia na wizi??

Maana yake kuna watu wasio wastaarabu wamevamia utaratibu na wanautumia vibaya.
 
Demokrasia ni watu kuchaguana.

Tunachaguana kwenye vikao vya ukoo, kamati za harusi, viongozi wa mitaa.

Kwanini kuchguana kwenye madaraka ya kuendesha nchi mpaka kuwepo ma dhulma, mauaji, utekaji, kitupana jela bila hatia na wizi??

Aana kuna watu wasio wastaarabu wamevamia utaratibu na wanautumia vibaya.
Siasa za vyama vingi Tanzania ni upumbavu mtupu,

Tanzania kiongozi wa upunzani hawaletagi sera mbadala ispokua wanaleta matusi, kejeli, kutukana watu, kujipa umuhimu na ujinga mwingine unaofanana na huo… wengine wanaenda mbalii kabisa wanaleta usaliti kwa taifa mfano Tundulisu. Unayakumbuka maneno haya .?👇🏾
View: https://youtu.be/b5bRxLfG44g?si=TPo3Xxx0TXg8Mt94. Huyu bwana Lisu hayastahili maisha kabisa. Vitu kama hivi Ndio vinavyowasababisha kuuwawa na kutekwa…,

My take.
Nikiwa kama mtanzania mzalendo na mpenda maendeleo wa taifa hili, nasapoti hatua kali za kinidhamu kwa watovu wa tabia , taifa halijengwi kwa matusi na usaliti.. ingawa sisapoti utekeji.
 
Siasa za vyama vingi na utawala wa sheria ndio NCHI, AMANI na USALAMA wa nchi. Mazungumzo.

TZ tulichagua wenyewe vyama vya siasa, na utawala wa sheria.

Watu wachaguane kwa kura na wanaotafuta haki waende mahakamani.

Kama hiyo mifumo haifanyi kazi, maana yake unataka watu wafanye nini kutoa nyongo zao.

DRC, RWANDA, SOMALIA, ETHIOPIA, ERITREA, UGANDA, BURUNDI, MSUMBIJI kote kuna VIKUNDI vyenye silaha vinapigana MSITUNI.

WEST AFRICA huko wamechagua vita, wanajeshi, kupinduana madarakani KILA Siku na VIKUNDI MSITUNI.

Msifikiri Nyerere alikuwa MJINGA au sisi ni SPECIAL sana.

Amani ya nchi hailindwi kwa MABOMU na BUNDUKI.

Siku ikivurugika, haitakuja kukaa sawa tena, maana hivyo vikundi vitajiungana wahuni wa dunia huko, vitawapa SILAHA na MADINI vitakuwa vinachimba bure wakati UTALII hautakuwepo.

Nchi itakufa.

Na hizi mentality za matusi ni za watu wapumbavu tu, kwamba chama kimoja tu ndio kinatukanwa nchi hii, wengine malaika??

Mwisho wa siku wananchi wanajua na wanaelewa, hakuna sababu ya kulazimisha FIKRA.
 
Huyu bwana Lisu hayastahili maisha kabisa. Vitu kama hivi Ndio vinavyowasababisha kuuwawa na kutekwa…,
Lissu ameiba kitu cha nani?

Amempora nani?

Amemuumiza nani?

Sasa tuna mahakama na tawala za sheria za nini?

Tufute mahakama na polisi ili tuanze kutoa hukumu wemyewe mitaani basi.

Bahati nzuri wewe siyo Mungu. Lissu yupo na huyo Magufuli ni FUVU na SUTI tu sasa hivi.

Too materiaristic kuabudu vitu, mbele ya UTU.

Nyie ndio mnatoa mpaka watu KAFARA.
My take.
Nikiwa kama mtanzania mzalendo na mpenda maendeleo wa taifa hili, nasapoti hatua kali za kinidhamu kwa watovu wa tabia , taifa halijengwi kwa matusi na usaliti.. ingawa sisapoti utekeji.
Hakuna mtu mzalendo wa aina yako.

Uzalendo ni kuipenda nchi yako. Siyo kupenda wanasiasa au kuwa msukule wa Mwanasiasa mwenye madaraka.
 
Back
Top Bottom