REAL Comrade Kipepe
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 3,602
- 11,528
Mimi sijawahi kutazama clip or kusoma ujumbe wowote wa Mange. Mimi ni mtu mzima mwenye akili timamu na ni marufuku kujihusisha na mambo ya kipashkuna. Mabinti wenye tabia mbovu kama Mange siwezi kuwa na muda nao, na wala sijui mambo yake anaongelea kwenye app ipi. Nachojua ni kuwa, analishwa info na watu na at the same time, anaongeza chumvi kwenye mambo yake pia.Wewe video uliiona wapi, kama siyo kwa Mange?
Huyo Dada ndio alimtumia hiyo video Mange.
Mange ndio aliweka CLIP online.
Na Mange ndio alisema huyo dada alimpigia simu analia kuwa asiposti hiyo video ametishiwa maisha na Nyalandu.
Stori inaanza na Mange na inaisha na Mange.
Kama una taarifa zozote zinazoonesha kuwa Nyalandu alimpa Mange pesa ili asiposti, leta hapa.
Kama wewe una taarifa tofauti kutoka chanzo tofauti na Mange leta hapa.
Hizi siyo imani za dini.
Una counter ushahidi, leta watu tuone.