Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Acha ushamba wa kifala wewe.
Sio kila G-wagon lazima ziwe vile usemavyo wewe hapo mbele.
Inaonekana hata magari hutajui mazeeh.
Kuna G-wagon za namna hiyo wanamiliki matajiri wa Dubai exactly kama hivyo ilivyo hio na naweza kukuletea hapa.
Sasa umesema nini cha maana ju hueleweki. Nimekuambia G-Wagon ya 2025 ina 4 bar grill, G63 ya 2025 nayo ikona vertical vents chini ya bumper. Kama hujui kuhusu magari ni heri unyamaze kuliko utuambie a lot of nothing. Sasa matajiri wa Dubai wanaingilia wapi kwa design ya 2025 G-Wagon. 🤣🤣🤣
 
Hapa panapigwa mkeka
Maeneo mengi sana Dar hayajaoneshwa kwenye hii thread, wakundustan hii ni Kigamboni huwa mkiambiwa Dar ni 3 times bigger than naislum muwe waelewa, imagine hii ni district 1 tu ya Dar kati ya 5 ina 45 km stretch of tarmac road project, Kunyaland hii stretch ungeshatokea kajiado caunty

Screenshot_20250629-125243.jpg
 
yes itakwama kama zinavyokwama za kwenye first world countries. Ama wewe hutaki zikwame kabisa 😁
Kukwama more than ten times in one year can never happen in first world countries. Hio tumeona Kwa LDC bongoslum pekee.
 
Sawa Mombasa kubwa, why hamjapeleka CHAN or AFCON?

Hii CHAN Tanzania ina Miji miwili ZANZIBAR, DAR ES SALAAM.

Afcon ina miji 4, Dar, Dodoma, Zenji, Arusha.

Ukunyaaa NAIROBI NAIROBI

Uganda KAMPALA, HOIMA, LIRA

Wasenge sana, lini mtapona kuishi kwa virtual
Afcon Tanzania tuna miji 4, Dar es salaam ,Zanzibar, Arusha na Dodoma.
Kenya miji 4 ,Nairobi, Nairobi, Nairobi na Nairobi. 🤣
 
Salsa walikiwa wanabisha mini!? Kwamba Dar ni Vumbistan!?
View attachment 3389189
Do you even know where Kigamboni is?

Kigamboni District is bigger than Naislum.

Land Area Comparison
Kigamboni: Kigamboni District covers an area of 578.3 km² (223.3 square miles).
Nairobi: Nairobi County spans 703.9 km² (271.8 square miles).
 
Back
Top Bottom