Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nakupa mfano mdogo tu,alikuwaga na clip ya nyalandu,kwanini akuitoa kama sio nyalandu alimlipa asiitoe
Jamaa anashindwa hata kuzama kidogo. Mtu hayupo Tanzania lakini anapata details za kila aina, how kama azinunui?
Mange anatumika kama Maria or kama ilivyokuwa kwa Kigogo. Sasa hivi Kigogo hapati tena taarifa kwakua hawana mpango nae tena na humsikii.
 
Tanzanite bridge
IMG_9460.jpeg
IMG_9463.jpeg
IMG_9461.jpeg
IMG_9462.jpeg
 
Jamaa anashindwa hata kuzama kidogo. Mtu hayupo Tanzania lakini anaoata details za kila aina, how kama azinunui?
Mange anatumika kama Maria or kama ilivyokuwa kwa Kigogo. Sasa hivi Kigogo hapati tena taarifa kwakua hawana mpango nae tena na humsikii.
Vijana wanashindwa kung'amua kuwa hakuna mtu wa kufanya harakati za bila faida zama hizi.
Paid activists.
 
Back
Top Bottom