Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

hii Kima mwaiofhawaii inavaa oversized clothes 😂 🚮
Screenshot_20250621-090952.png

Hili fala mwaiofhawaii ni lishamba flan 😀
 
Sawa Mombasa kubwa, why hamjapeleka CHAN or AFCON?

Hii CHAN Tanzania ina Miji miwili ZANZIBAR, DAR ES SALAAM.

Afcon ina miji 4, Dar, Dodoma, Zenji, Arusha.

Ukunyaaa NAIROBI NAIROBI

Uganda KAMPALA, HOIMA, LIRA

Wasenge sana, lini mtapona kuishi kwa virtual
Siku hizi mmeacha kusema hatotahost, mnasema Nairobi pekee. Mmeacha kusema Talanta haitojengwa? 🤣 🤣 🤣
 
Nakupa mfano mdogo tu,alikuwaga na clip ya nyalandu,kwanini akuitoa kama sio nyalandu alimlipa asiitoe
Yule dada aliyekuwa na Nyalandu pamoja na familia yake walitishiwa sana maisha na Nyalandu.

Yule dada alimuomba sana Mange asiposti.

Mange alimhurumia.

Alijua watamuua.
 
Toa mfano.

Anatumika na nani?

Nani anamlipa?

Mtu kama Maria tunajua analipwa hata agenda yake ya kupinga EACOP ilikuwa ya malipo.

Ila Mange kulipwa kufanya harakati, hilo ni uwongo.

Mange analipwa kwa umbea siyo harakati za siasa.
Ila wote wasenge tu,hususan Mange kimambi.
Kama ningekua raisi na akathubutu kukanyaga nchini namchinjilia mbali.
 
Ila wote wasenge tu,hususan Mange kimambi.
Kama ningekua raisi na akathubutu kukanyaga nchini namchinjilia mbali.
Kwasababu unasema unamchinja, maana yake Mange anachopigania yuko sahihi.

Kuua, kuteka watu, kuumiza watu ni tabia za kishamba za kizamani za karne ya 4.

Ni tabia za ovyo.

Na watu wauaji ndio watakuja kuua kabisa nchi hii.

Amani hailindwi kwa bunduki na mauaji.
 
Kwasababu unasema unamchinja, maana yake Mange anachopigania yuko sahihi.

Kuua, kuteka watu, kuumiza watu ni tabia za kishamba za kizamani za karne ya 4.

Ni tabia za ovyo.

Na watu wauaji ndio watakuja kuua kabisa nchi hii.

Amani hailindwi kwa bunduki na mauaji.
Mange ni fala kama mafala wengine.
Siwezi kumuweka katika activists hata siku Moja.
Mtu ambaye hajui hata uwasilishaji wa kiwanaharakati na mbea mmbea tu.
 
2025 G-Wagon has a 4 bar grill. 🤣🤣🤣 Danganya bongolala wenzako.

View attachment 3388830
Acha ushamba wa kifala wewe.
Sio kila G-wagon lazima ziwe vile usemavyo wewe hapo mbele.
Inaonekana hata magari hutajui mazeeh.
Kuna G-wagon za namna hiyo wanamiliki matajiri wa Dubai exactly kama hivyo ilivyo hio na naweza kukuletea hapa.
 
Mange ni fala kama mafala wengine.
Siwezi kumuweka katika activists hata siku Moja.
Mtu ambaye hajui hata uwasilishaji wa kiwanaharakati na mbea mmbea tu.
Jambo la muhimu ni agenda, anayokuwa anazungumzia kwa wakati husika.

Tabia binafsi mwachie mwenyewe.

Watu wote hatutaki siasa za wizi, dhulma, ubaguzi, ukabila, mauaji, wahuni na risasi.

Kwasababu zitakuja kuua nchi.

DRC kuna vikundi zaidi ya 100 vinapigana msituni.

West africa wanapinduana kila siku.

TZ tulichagua vyama vya siasa, uchaguzi, na kutatua matatizo yetu kwa mazungumzo na sheria.

Sasa ukizuia sheria kufanya kazi, uchaguzi ukiwa hauna maana, kura haina thamani maana yake unataka watu wasio ridhika wapate haki vipi?

Maana yake unataka nchi ivuruguke kabisa
 
Back
Top Bottom