Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kaka,amini anatumika nae yule,ufike dau lake tu
Toa mfano.

Anatumika na nani?

Nani anamlipa?

Mtu kama Maria tunajua analipwa hata agenda yake ya kupinga EACOP ilikuwa ya malipo.

Ila Mange kulipwa kufanya harakati, hilo ni uwongo.

Mange analipwa kwa umbea siyo harakati za siasa.
 
2025 G-Wagon has a 4 bar grill. 🤣🤣🤣 Danganya bongolala wenzako.

images (33).jpeg
 
Toa mfano.

Anatumika na nani?

Nani anamlipa?

Mtu kama Maria tunajua analipwa hata agenda yake ya kupinga EACOP ilikuwa ya malipo.

Ila Mange kulipwa kufanya harakati, hilo ni uwongo.

Mange analipwa kwa umbea siyo harakati za siasa.
Nakupa mfano mdogo tu,alikuwaga na clip ya nyalandu,kwanini akuitoa kama sio nyalandu alimlipa asiitoe
 
Don’t bite the hand that feeds you… how much of my hard earned tax money have you utilized today?… at least buy yourself a new pair of shoes..🤣🤣🤣
Screenshot_20250621-090932.png
20250626_101237.jpg

Maku umlishe nani 😀,nakuona mshamba tu,ndio maana umefanana na kicheche,lisha familia yako ya kibera kwanza babu jinga
 
Back
Top Bottom