Nicxie
JF-Expert Member
- Jun 20, 2017
- 22,118
- 17,846
So jiji kujilewaza ni kuwa na uwanja wa mpira? Hivi, 'majiji' zenu za Mwanza na Mbeya ziko na viwanja vya mpira?Kama jiji linajiweza lingekuwa na uwanja na timu zingekuwepo huko kwa sababu hamna kitu ndiyo maana kila kitu ni Nairopori wewe unajisikiaje kuwa Dar, Zanzibar, Arusha, na Dom zitahost mashindano ya Caf