buffalo44
JF-Expert Member
- May 8, 2016
- 5,129
- 13,119
Kwanza mzee haina haja ya kumpa kichwa huyo mpuuzi, unafahamu kwamba hawana hata picha za kisumu ikiwa na ndege inashusha watu, ndege kubwa ya international (si unaitwa international).Those 100,000 PAX r within 1,5 mln! BTW Zanzibar receives ocer 2.4 mln PAX!
View attachment 3388431
Kingine wapo wanatembea na picha za uzinduzi mpaka leo picha hazina watu popote.
Yaani abiria 1m mara laki 5 wote wana viswaswandu aka Nokia Asha.
Hamna wa kupiga experience.
Ila nenda tu hata Arusha airport picha zimezagaa, songwe airport zimezagaa search kisumu sasa 🤣🤣🤣