Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwahiyo huyo jamaa kusema haijui Tanzania Ndio nini yani.? Kwamba Ndio Tz itakosa kuchukua tuzo ya best airport in Africa au.? 🤣🤣🤣
Mmepata tuzo once sasa hatutapumua, do you know the number of times JKIA has won that award?

Saa hii KQ has won the best airline in Africa the the fourth consecutive year na tumenyamaza Tu, siku Any Time Cancellation Limited will win it najua hatutapumua pia.
 
Shida yenu ni kiingereza alafu tukiwaambia mnaona tunawachukia. Jamaa hajasema haijui Tanzania. Amesema wamarekani wengi hawajui Tanzania iko wapi kwenye ramani ya dunia ila yeye mwenyewe yupo Tanzania.
Alafu huwa mnanifurahisha kila mara mzungu akisema kitu negative kwenu mnasema tunawaabudu wazungu yet huyo huyo mzungu akisema kitu negative kuhusu Kenya mnakiandika kwenye Gospel yenu ya Nyerere's Epistles to Kenya - hamtowai sahau na mnawafundisha hadi wajukuu wenu. 🤣 🤣 🤣
Hebu rudia kuandika tena.
Mara gospel, mara wazungu, mara kingereza.

WHAT IS THE MAIN POINT.

Kuna a lot of things kujadili.
Nyinyi mnapenda sana online developments. Na hiko kichaka tutakifuta soon.

Juzi nilipanda hili basi la gesi, aisee I can't wait yawe 500 yakiletwa. Yana USB ports, AC, widespace, na hayana pollution kabisa.
Nyinyi endeleeni kufurahia online developments and nothing to delivers on the ground

1749490331736.jpg
 
View attachment 3388242
Kawaida yako kutwist mambo na kubadilisha magoli.
 
Mmepata tuzo once sasa hatutapumua, do you know the number of times JKIA has won that award?

Saa hii KQ has won the best airline in Africa the the fourth consecutive year na tumenyamaza Tu, siku Any Time Cancellation Limited will win it najua hatutapumua pia.
Mavi ya kale hayanuki bwana mdogo.. airport bora kwasasa Africa ni JNIA na ndio the most beautiful..

Unaumia.?
 
Hehehe

700 tones Vs 4,000 tones.

Tuliwaambia hakuna mizigo ya maana that refurbished trains of yours will carry since almost all cargo at Dar Port stops at Dar is slum. This 4,000 tonnes was when our SGR started operation.

In 2024 and 2023 our SGR did 17,800 tonnes per day. In 2025 Q1 it did, 20,222 tonnes per day wakati yenu is struggling to reach 700 tonnes per day😂😂😂

View attachment 3385602
I can feel your pain
 
Back
Top Bottom