babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 13,490
- 36,162
Wanakuambia ni uwanja mzuri kuliko viwanja vyote Africa. πππHili box halina ubunifu wowote,bora liende πππ
Yaani unaleta pond ya sekunde 55??Hapa ni Kariakoo a few kilometers from Posta CBD na barabara haijawai kuona lami tangu Mungu aumbe dunia. π€£ π€£ π€£
View: https://x.com/EJ_Mwita/status/1924777446307500380
Unataka ikue movie ya 3 hours.Yaani unaleta pond ya sekunde 55??
Mji umejaa mabus ya fuso ππNairobi CBD hiyo. π€£π€£π€£ hii na tandale tofauti yake ni magorofa tu. ππΎ
View: https://www.instagram.com/reel/DLWrQodtXBG/?igsh=dXMyYnFmZmtmcXBm.
Huyu mwana ukimcheki kachoka mbaya, ni hao wanavunja ATM or kuvamia maduka watu wakamzima milele, dah!Watanzania mpo enzi za moi za udikteta
View: https://x.com/TheNairobiTimez/status/1937933331510763891?t=rai6-qtAGOsGdrlkm7J3pg&s=19
Njoo Zanzibar upunguze stress za siasa na kodiUnataka ikue movie ya 3 hours.
Hii ndio hua lengo kuu lao mengine ni cover tu, ujinga kama huu ndio uje kufanya nini, si wanapoteza maana nzima ya maandamano kuwa wizi.kila mtu ni mwizi hata mtoto anaezaliwa leo nae ni mwizi tu
View: https://x.com/standardkenya/status/1937915109000487340?s=46
So hayo maduka yaliyovunjwa automatically bidhaa zitakuwa redo kama kabla ya maandamano?You expected the streets to be clean, nice and tidy on a day of demonstrations and chaos all over? Why do you people like consoling yourselves this much?
Ingekuwa huko kwa manyang'au ungeona jamaa kama hao wanajieleza kwa kile kizungu chao cha ugokoππNaongezea na kibwagizo hiki. Kesho SGR kuanza safari ya mizigo
View: https://youtu.be/LWFqjrVKzpM?si=yS0GvdhB8Kn1ggby
Usisingizie demonstration, Nairobi ni chafu sanaa.You expected the streets to be clean, nice and tidy on a day of demonstrations and chaos all over? Why do you people like consoling yourselves this much?